Hakika mkuu ukiwa na elimu hata kidogo kuhusu hawa wanyama utaenjoy sana weng hawajui Paka na mbwa ni marafiki wazuri kwa binadamu hasa ukionyesha upendo kwaoSiyo hamuwapendi. Tatizo mmekuzwa na tabia ya kuwachukukia wanyama kibaya zaidi hata elimu ndogo ya kutambua tabia za wanyama hamna. Eti uzungu unipite kumbe sababu hata kula yako ni shida sembuse ufuge mnyama.
paka akikuzoe anakuona mwana tu😅😅nimepata picha za kuchekesha wanyama ukiwa fuga kwa mazoea utafanyiwa hivi
View attachment 1947455
View attachment 1947456
View attachment 1947457
View attachment 1947458
View attachment 1947459
View attachment 1947460
View attachment 1947461
View attachment 1947462
View attachment 1947463
View attachment 1947464
View attachment 1947465
View attachment 1947466
View attachment 1947467
View attachment 1947468
View attachment 1947469
View attachment 1947470
View attachment 1947471
View attachment 1947472
View attachment 1947473
View attachment 1947474
View attachment 1947475
Dawa yao hawa ni kumbutua teke 1 la haja.No mazoea.
Utafugaje na unaishi Chumba kimoja
Sema unaishi store ndio maana huwezi Fuga bwashee!
Jiko,kitanda,ndoo za maji,gunia la Mkaa,Tenga la nguo,kakabati ka viatu,debe la unga,fuko la maharage,debe la mchele,Saboofa na tv,friji dogo,feni ya stand nk nk
Na mfugo juu hata hapata tosha
(Joking bro)