wanyama tuwafugao ukileta mazoea nao sana kazi yake ndio hii

Siyo hamuwapendi. Tatizo mmekuzwa na tabia ya kuwachukukia wanyama kibaya zaidi hata elimu ndogo ya kutambua tabia za wanyama hamna. Eti uzungu unipite kumbe sababu hata kula yako ni shida sembuse ufuge mnyama.
Hakika mkuu ukiwa na elimu hata kidogo kuhusu hawa wanyama utaenjoy sana weng hawajui Paka na mbwa ni marafiki wazuri kwa binadamu hasa ukionyesha upendo kwao
 
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Nijuavyo mm ukivua hata nguo mbele za paka na mbwa wanabweka na kupiga kelel
 
Espy ona povu hapo juu bahati nzuri hajaniquote mfyuuu zake😂😂😂😂😂nikiwaona tu wanakimbia wenyewe la sivyo jiwe linawahusu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jiwe moja matata wakalilie mbali.
 
Utafugaje na unaishi Chumba kimoja
Sema unaishi store ndio maana huwezi Fuga bwashee!
Jiko,kitanda,ndoo za maji,gunia la Mkaa,Tenga la nguo,kakabati ka viatu,debe la unga,fuko la maharage,debe la mchele,Saboofa na tv,friji dogo,feni ya stand nk nk
Na mfugo juu hata hapata tosha

(Joking bro)

 
Back
Top Bottom