Wanyama kwenye nembo / bendera za timu za mpira zinamaanisha nini?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,820
Timu nyingi za ulaya naona zina wanyama ambao kidogo wanafanania na simba lakini sio simba.
Miongoni mwa timu hizo ni Manchester United na Chelsea. Man wanamwita mnyama wao SHETANI MWEKUNDU, je hawa wanyama wana maana gani?
 
Umeshasema nembo, maana yake ni alama hivyo maana yake ni unapoiona hiyo nembo uitambue inawakilisha nini na sio yale yaliyomo ndani ya nembo. Mfano wewe unajiita bujibuji na avator yako tukiiona tu tunajua ni wewe.
 
Man u ni mashetani wekundu
Chelsea ni mashetani wa blue
tofauti ni kwamba Chelsea ni dume kwa kuwa blue ni rangi ya kiume na Man ni majike
 
Timu nyingi za ulaya naona zina wanyama ambao kidogo wanafanania na simba lakini sio simba.
Miongoni mwa timu hizo ni Manchester United na Chelsea. Man wanamwita mnyama wao SHETANI MWEKUNDU, je hawa wanyama wana maana gani?

mkuu bujibuji na city yeye ni ndege la ajabu tu lione lilivyo..
manchester_city_logo.jpg
 
Back
Top Bottom