wanwake waandamana kupinga waume zao kula "MIRUNGI"WAUME ZAOWANABAKI SUPERGET | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanwake waandamana kupinga waume zao kula "MIRUNGI"WAUME ZAOWANABAKI SUPERGET

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Mar 11, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  Wanawake wa kenya leo wanatarajia kuandamana kupinga
  kwa wanaume zao kula mirungi wakilala,mika asilimia 90
  ya waume zao nanii zao azisimami kabisa na hivyo kuhatararisha ndoa zao..wanawake hao wameomba serikali kukemea na kuchoma mashamba ya mirungi kwa kuwa inaaribu waume zao sehemu za WAZI

  haya wapenda mirungi kazi kwenu
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Halafu wanajiuliza mara mbili wakishafumania wake zao!! Si mirungi tu hata mipombepombe mnayokunywa shauri yenu!! Mnakaribisha matatizo majumbani kwenu
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Duh kumbe ile kitu ina shusha perfomance hahahaha hayaha wasomali wanapend kweli hiyo kitu
   
 4. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Tarehe 26/02/10 nalikuwa nikizurura naelekea Ar nalikutana na binti mmoja anaenda Same na kudai kuwa asilimia 70 ya vijana wa kiume wa Same wanaelekea ktk UTOWASHI wa kujitakia. Aidha rafiki yake ambaye mumewe ameamua kwa makusudi kuwa mbuzi wa kula majani ameamua kutaafuta mwanaume wa nguvu ambaye gwaride analiweza. Nadhani kuna ukweli ktk madai hayo
   
 5. M

  Mchili JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mbona wengine wanasema mirungi inahamasisha?
   
 6. B

  Bob Nash Member

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mmmh
   
 7. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  yes Mirungi kama ilivyo ulevi mwingine inaongeza hamu ya kufanya (hashki) lakini inapunguza efficiency ya performance.
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Loh... Bora nijinyweee (Ndovu) zangu... (TUSKER KUSHNEHI!!!)
   
 9. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanajf jiandaeni kupokea kesi za wanatengana kwa kukosa kutenda lile tendo la uhusiano ktk ndoa
   
 10. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2010
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,789
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  castle, african lager
   
 11. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wenyewe wanaiita handasi.

  Kenya mirungi halali kwa hapa kwetu tz ni dawa ya kulevya
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ngoja niongeze kasi ya kula pweza maana kazi iliyoko mbeleni si ndogo
   
 13. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Ah ngoja nika andasi nina big g kama kumi hivi na coke baridi sijaifungua bali nimetoboa kizibo na msumari nafyonza taaaratibu nipo Makao Mapya arusha baadaye naenda mtaa wa Bondeni,tupo na akina dada warembo kweli nao wamevimbisha mashavu na taarabu ya Juma Bhalo naisikia kwa mbali,wala hatumaindiani kama tuko na mademu akili yote kwenye gomba teh teh
   
 14. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hehehehe!
   
 15. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  raha upate demu mlagomba mta***na vizuri
   
 16. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mshua unaifahamu Konyagi?
   
 17. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  wajanja wasaga gomba hawapati hilo tatizo la jogoo kupiga kunji kuwika. wakimaliza kutema taxima, wanashushia na Konyagi au Ballantine. Sikilizia mziki wake baada ya hapo. utafikiri ametafuna mkashari na kutupiamo kidonge cha Cialis (viagra). chezea gomba weye!
   
Loading...