Wanunuzi wa Vanilla toka Zanzibar

Arista

Senior Member
Feb 25, 2018
138
103
Wanajamii poleni na majukumu, nipo hapa Dar es Salaam hila natokea Mkoani Kagera ambako kuna wakulima wa Vanilla wengi mno na zao hilo limekosa soko.

Wanakijiji wenzangu wamenituma niwatafutie wanunuzi huku hila hapa Dar nikaambiwa hawapo mpaka huko Zanzibar hivyo nauliza mwenye kuwajua hao wanunuzi aniunganishe nao kusudi wakulima mwakani wawe na soko la uhakika.
 
Hakika hili swala la vanilla linatakiwa kufanyiwa research ya masoko kabla mtu hujaanza hichi kilimo.

"Fursa huanzia sokoni" By Ruge Mutahaba
 
Wanajamii poleni na majukumu,nipo hapa Dar es Salaam hila natokea Mkoani Kagera ambako kuna wakulima wa Vanilla wengi mno na Zao hilo limekosa soko,wanakijiji wenzangu wamenituma niwatafutie wanunuzi huku hila hapa Dar nikaambiwa hawapo mpaka huko Zanzibar,hivyo nauliza mwenye kuwajua hao wanunuzi aniunganishe nao kusudi wakulima Mwakani wawe na soko la uhakika.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Aimaanishi soko la vanilla halipo, lipo sana hila kuna watu na makampuni ya kijanjajanja yanawaibia wakulima mfano wanalangua kilo moja ya vanilla mbichi kwa tsh elfu 20,000.na wanauza soko la hapahapa Tanzania kwa tsh 150,000.kwa kilo.

Na kilo moja ya vanilla iliyokaushwa huko Zanzibar ni zaidi ya million moja ambayo ni sawa na kilo 6 za vanilla mbichi ambayo ununuliwa kwa mkulima kwa tsh 120,000.Mtu wa kijijini haya hawezi kuyajua ndugu zangu.
 
Aimaanishi soko la vanilla halipo, lipo sana hila kuna watu na makampuni ya kijanjajanja yanawaibia wakulima mfano wanalangua kilo moja ya vanilla mbichi kwa tsh elfu 20,000.na wanauza soko la hapahapa Tanzania kwa tsh 150,000.kwa kilo.Na kilo moja ya vanilla iliyokaushwa huko Zanzibar ni zaidi ya million moja ambayo ni sawa na kilo 6 za vanilla mbichi ambayo ununuliwa kwa mkulima kwa tsh 120,000.Mtu wa kijijini haya hawezi kuyajua ndugu zangu.
Alie kuambia Zanzibar kilo ya Vanila ni Milioni nani?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom