Wanunuzi wa magari mabovu kama skrepa

biasharaTz

Senior Member
Apr 14, 2016
163
225
Habari za mapumziko ya wiki ndugu zangu!
Tumshukuru Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehma kama tumejaaliwa kuwa wazima hadi muda huu kwani kuna wengi wapo vitandani wanaumwa, wengine wanaelekea kuzikwa nk
Ama baada ya utangulizi, ndugu zangu wana jamii naulizia wanunuzi wa magari mabovu iwe mtu binafsi au kampuni inayonunua kwani nina gari yangu nataka kuiuza kama gari mbovu kwa ajili ya kuikata. Haina matatizo mengi isipokuwa nimeamua kuiuza kama ilivyo na mteja akiamua anaweza kuifufua au kuikata
Hali ya gari ipo vema inaridhisha, bodi ipo poa kabisaaa haijawahi kupigwa rangi, injini ndo inagonga kiaina na kibali kimoja kimeisha. Naiuza kwa ajili ya kuongezea mtaji katika kilimo na ufugaji na vilevile kuna gari tayari imeingia niliagiza
1. Gari ni Toyota Grand Mark 11 ya mwaka 2002
2. Inapatikana Kigamboni, Dar Es Salaam
3. Bei ni maelewano lakini kuanzia mil 4.6
4. Mawasiliano 0659 211 222
Karibuni
b4ed21392225b0885cba92ae26518b9b.jpg

05ec00c0d157f8a546cac6cdcb36e6cf.jpg
 
biasharaTz

Senior Member
Apr 14, 2016
163
225
Hii sio zile skrepa za kukata na kuyayusha vyuma laah hasha. Bali ukiamua unaitengeneza gharama haizidi laki 5 plus na kibali 2.8k. Na kama ukiamua kuuza kama spea inakulipa kwani ipo poa kabisa. Tatizo muda sio rafiki kwangu kwa mujibu wa malengo niliyoweka
 
HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
2,045
1,500
leteni magari mabovu hapa wanunuzi wapo kwa ajili ya kuchinja na chuma chakavu naona gari mbili tu
 
nyamima

JF-Expert Member
Apr 19, 2016
211
225
Mi nina mazda pick up,km strepa ilikua na matatizo ya pump ikakaa kama mwaka bila matengenezo naitaji 2.5..mwenye uitaji aje pm..body bado ina hali nzuri tu.
 
Jephta2003

JF-Expert Member
Feb 27, 2008
5,794
2,000
Habari za mapumziko ya wiki ndugu zangu!
Tumshukuru Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehma kama tumejaaliwa kuwa wazima hadi muda huu kwani kuna wengi wapo vitandani wanaumwa, wengine wanaelekea kuzikwa nk
Ama baada ya utangulizi, ndugu zangu wana jamii naulizia wanunuzi wa magari mabovu iwe mtu binafsi au kampuni inayonunua kwani nina gari yangu nataka kuiuza kama gari mbovu kwa ajili ya kuikata. Haina matatizo mengi isipokuwa nimeamua kuiuza kama ilivyo na mteja akiamua anaweza kuifufua au kuikata
Hali ya gari ipo vema inaridhisha, bodi ipo poa kabisaaa haijawahi kupigwa rangi, injini ndo inagonga kiaina na kibali kimoja kimeisha. Naiuza kwa ajili ya kuongezea mtaji katika kilimo na ufugaji na vilevile kuna gari tayari imeingia niliagiza
1. Gari ni Toyota Grand Mark 11 ya mwaka 2002
2. Inapatikana Kigamboni, Dar Es Salaam
3. Bei ni maelewano lakini kuanzia mil 4.6
4. Mawasiliano 0659 211 222
Karibuni
b4ed21392225b0885cba92ae26518b9b.jpg

05ec00c0d157f8a546cac6cdcb36e6cf.jpg
Wale jamaa wa kukata magari,kwa gari kama hii,haitazidi 1M,mimi nilishawahi fanya nao biashara nawajua
 
kenstar

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,279
2,000
Ila kumbuka kutoa taarifa TRA kuwa gari inaikata usipotoa taarifa deni litaendelea kusoma kila mwaka.Sababu unakuwa ujasitisha taarifa zako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom