mikataba mipya ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli, ukarabati wa Bandari, ujenzi wa Chato Airport, bomba la mafuta toka Tanga ni vyema ipitiwe mapema iwekwe mezani kila mmoja aijue isije kusubiria Magufuli atoke madarakani ndiyo iwe Skendo ya kipindi hicho.Mkuu pamoja na hivyo hoja ya mafisadi tusiijeopadize its time for pay back....
Inawezekana waliopokea msaada hawakujua kama ni pesa za wizi huwezi kuwalaumu
Mkuu kuna individuals hawana maadili kabisaaa wameingiza hasara kupitia heshima za vyeo walivyopewa.
Nasubiri na ile ya kashfa y voda com kuna Rani Meza, Fred Lowasa etc etc hii nchi inaweza kusogea mahali Fulani.....
Mbona kwenye kivuko kibovu huo msemo haufanyi kazi? Hata uuzaji wa nyumba za serikali napo haufanyi kazi.Jaza ujazwe
Huko hatusemi unataka tukose uteuzi ohooooMbona kwenye kivuko kibovu huo msemo haufanyi kazi? Hata uuzaji wa nyumba za serikali napo haufanyi kazi.
Pesa ya singa singa imepigwa sana wengi wamekula hiyo pesa list ni ndefu wakivutwa wote huko gerezani hakutoshi maana Umati ni mkubwa sana.
Nntaona kweli PCCB wapo serious if and only if kale ka list k2 ka mkombozi bank hakata pita ivi ivi... la siivyo itakuwa tunachezewa ngoma ya watoto haikeshiMbona kwenye kivuko kibovu huo msemo haufanyi kazi? Hata uuzaji wa nyumba za serikali napo haufanyi kazi.
Na wao wamo......vp umeridhika sasaVipi wale maaskofu wa kanisa katoliki?
Picha haimaanishi kuwa kila mtu ALIYEWAHI KUPIGA picha na mtu kama huyo ni MTUHUMIWA/SUSPECT.Kama kawaida yangu inapofikia hali hii, maneno huniishia na hivyo kuamua kuziachia picha ziongee...!
Hasira za nini?Na wao wamo......vp umeridhika sasa
Ova
"KADRI UNAVYOPANUA NDIVYO WANAVYOZIDI KUTAMANI"Jaza ujazwe
Wamewakilishwa na huyo sheikh mwenye kanzu nyeusi pichani!Vipi wale maaskofu wa kanisa katoliki?