Wanufaika wa Escrow wakikamatwa wote, serikalini hatabaki mtu, idara wala taasisi!

Mkuu pamoja na hivyo hoja ya mafisadi tusiijeopadize its time for pay back....
Inawezekana waliopokea msaada hawakujua kama ni pesa za wizi huwezi kuwalaumu
Mkuu kuna individuals hawana maadili kabisaaa wameingiza hasara kupitia heshima za vyeo walivyopewa.
Nasubiri na ile ya kashfa y voda com kuna Rani Meza, Fred Lowasa etc etc hii nchi inaweza kusogea mahali Fulani.....

Ambao hawakujua kuwa ni fedha za wizi ni wale maaskofu wawili tu ambao wamepokea kama zaka au fungu la kumi kwani mtoaji ni muumini wao.
 
Back
Top Bottom