Wanufaika wa Escrow wakikamatwa wote, serikalini hatabaki mtu, idara wala taasisi!

Tatizo lenu ni kujidai takukuru,Dpp,Mahakama na kila kitu.

[HASHTAG]#Waandishikanjanja[/HASHTAG]
 
Wamewakilishwa na huyo sheikh mwenye kanzu nyeusi pichani!

Hivi huyo mwenye kanzu nyeusi ulijuaje kama "sheikh"?

Sikuona jina hata moja linaloashiria kuna "Sheikh" katika ile list ya benki ya mkombozi ya waliopokea mgao kutoka kwa Ruge. In that case, hata list nzima ya escrow.
 
Hivi huyo mwenye kanzu nyeusi ulijuaje kama "sheikh"?

Sikuona jina hata moja linaloashiria kuna "Sheikh" katika ile list ya benki ya mkombozi ya waliopokea mgao kutoka kwa Ruge. In that case, hata list nzima ya escrow.
Hahahaaa......ff katika ubora wake! Ni kweli kanzu siyo kiashiria sahihi nimekuelewa.
 
Kama kawaida yenu wazee wa MIGA mmeanza kupiga mikwara mbuzi! Eti serikali itakosa mtu!!! Ha aha ahaaa....
 
"Harufu" yake ilifika hadi kwenye viwanja,mashamba na Nyumba ndogo.Nchi ilishehenezwa na "upupupu" wake kila mahali.Ilikuwa kama upepo wa siku ya Pentokoste ambapo kila aliyefikwa na cheche za Upepo ule basi aliongea kivyake kadri alivyoweza.
 
Mkuu pamoja na hivyo hoja ya mafisadi tusiijeopadize its time for pay back....
Inawezekana waliopokea msaada hawakujua kama ni pesa za wizi huwezi kuwalaumu
Mkuu kuna individuals hawana maadili kabisaaa wameingiza hasara kupitia heshima za vyeo walivyopewa.
Nasubiri na ile ya kashfa y voda com kuna Rani Meza, Fred Lowasa etc etc hii nchi inaweza kusogea mahali Fulani.....
Mmmh nawaswas mbona hii misaada hamna mtu wa upinzani yyte aliyeipata, ni madude ya ccm tu.
 
Wote waliopewa fedha za Escrow wakiwemo maaskofu wetu wahojiwe na kama ni mahakamani wapelekwe ili ukweli uweze kujulikana,kila aliegusa hii pesa na yeye aguswe,hakuna namna nyingine sasa,liwalo na liwe
 
Enzi hizo zimekwisha, Tulikuwa hatufahamu Wanatoa pesa wapi. Lakini kwakuwa tumetambua wanatuibia hakuna Urafiki tena. MWIZI ni Mwizi tu. Na wakamatwe tuu woote walio husika bila ya kunali nani ni nani.
 
Kama kawaida yangu inapofikia hali hii, maneno huniishia na hivyo kuamua kuziachia picha ziongee...!

f00b9101-0b85-454c-86d2-cf7e31804138-2060x1236.jpeg


IPTL+MBWENI+PIX+1.jpg


iptl-2.jpg


IPTL+1.jpg


__800x800_53d9dcb8c92f6.jpg


192062


AT+3.jpg


IMG_1401.jpg


IMG_1030.jpg
Tunachezewa kekundu hapa! Time will tell, Rip Bob Marley.
 
mikataba mipya ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli, ukarabati wa Bandari, ujenzi wa Chato Airport, bomba la mafuta toka Tanga ni vyema ipitiwe mapema iwekwe mezani kila mmoja aijue isije kusubiria Magufuli atoke madarakani ndiyo iwe Skendo ya kipindi hicho.
hawezi kurudi kukujibu mchumia tumbo huyo
 
Wote waliopewa fedha za Escrow wakiwemo maaskofu wetu wahojiwe na kama ni mahakamani wapelekwe ili ukweli uweze kujulikana,kila aliegusa hii pesa na yeye aguswe,hakuna namna nyingine sasa,liwalo na liwe
Kugusa wote haiwezekani, Ruge alienda kuwapa maaskofu kwa Imani yake ya kutoa sadaka. Sasa sadaka huwa inakosa gani? Mbona Gwajima anapokea sadaka mpaka ana helkopter na ndege sasa anapanga kununua treni. Majibu ya maaskofu yako kiimani ila wengine sijui.
 
Wale walosemekana kwenda kuchukua fedha na kubeba Kwenye mifuko ya sandarusi , viloba/visalfeti Na Rambo nao wameshatajwa? Maana ilisemekana wanajulikana na cctv cameras zilikuwa dhahiri
 
Back
Top Bottom