Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,091
- 201,042
Unaweza ukapata Mchumba na usipate Unyumba mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah, sasa iko hivi...huyo binti yuko kwenye transition age.. Its gets craziest around 21-23 yrs of age ambapo ndio umri uliomuoa. Kwa experience yangu atakuwa haeleweki sana mpaka pale atakapofikia umri wa 25+...! Hapo alipo hajui mume ni nini na yupo nae kwa ajili gani. Kuna mda utafika atatulia kabisa mpaka utashangaa.Oya bro agiza chochote ntalipa.kuna watu wanapenda kutoa toa ushauri bila hata kuelewa facts muhimu..halafu sasa mimi mtoa mada hawanielewi wananiona mtoto,sijakua,nategemea mwanamke..atleast wewe watakuelewa..yaani umeongea mule mule
Eeh bablai, mambo ni yechu yechu na maria!
Mzee unanikumbusha mtaani kabisa eti Yechu
Let her go, the world will never change because of separating with her.My marriage is a mess,its painfull when someone you care and love doesnt appreciate anything you do to her.
Mkeo alianza kuwa rafiki yako kumbuka hilo, hatimaye mkaanza kushea chi.Nah rafiki tu wa kubadilishana mawazo
Hahahah, sasa iko hivi...huyo binti yuko kwenye transition age.. Its gets craziest around 21-23 yrs of age ambapo ndio umri uliomuoa. Kwa experience yangu atakuwa haeleweki sana mpaka pale atakapofikia umri wa 25+...! Hapo alipo hajui mume ni nini na yupo nae kwa ajili gani. Kuna mda utafika atatulia kabisa mpaka utashangaa.
Kama ni kweli unampenda huyo binti na bado unahitaji kuwa nae kama mke mvumilie kwa kipande hiko kilichobaki! It wont take long ni kama after the 2 coming years. Unaweza chagua kuwa na maisha ya tofauti yatakayokupa amani ila usimuache. Najua anakukera sana kwa sasa ila ndo ujikaze kaka zako tulishapitia humo.
Kitu kingine mwanamke akiwa na mawenge ndio wakati wahuni wanatiaga mimba sasa sijajua wewe ulikwama wapi kijana wangu na una rasilimali zote.
Thanks man,nakuelewa sanaHahahah, sasa iko hivi...huyo binti yuko kwenye transition age.. Its gets craziest around 21-23 yrs of age ambapo ndio umri uliomuoa. Kwa experience yangu atakuwa haeleweki sana mpaka pale atakapofikia umri wa 25+...! Hapo alipo hajui mume ni nini na yupo nae kwa ajili gani. Kuna mda utafika atatulia kabisa mpaka utashangaa.
Kama ni kweli unampenda huyo binti na bado unahitaji kuwa nae kama mke mvumilie kwa kipande hiko kilichobaki! It wont take long ni kama after the 2 coming years. Unaweza chagua kuwa na maisha ya tofauti yatakayokupa amani ila usimuache. Najua anakukera sana kwa sasa ila ndo ujikaze kaka zako tulishapitia humo.
Kitu kingine mwanamke akiwa na mawenge ndio wakati wahuni wanatiaga mimba sasa sijajua wewe ulikwama wapi kijana wangu na una rasilimali zote.
Your welcome bro, anytime we nicheki tu!Thanks man,nakuelewa sana
Khaa ndicho kikubwa nilichokuitia ujue.Nitafsirie, maana sijaelewa kitu.
Inawezekana ni kweli usemacho ila wewe humtumii mkeo? Maana hakuna sehemu nimeona unashindwa kumwacha kwa sababu unampenda ila unashindwa kwa kuwa ukimuacha uchumi utayumba.Naamini ungekua wewe kwenu washua hivi mwanaume wako angekoma.yaani unawaza kila mwanaume anakutumia tu kisa mna pesa..kwanini wazazi wake waliniozesha sasa?unajua taratibu za wapemba wanavoozeshana?
Nampenda sana na kuhusu uchumi kuyumba ni swala pana.nimefahamiana na mashemeji kabla ya kumuoa kutokana na biashara ila baada ya kumuoa dada yao boom my business grew..Inawezekana ni kweli usemacho ila wewe humtumii mkeo? Maana hakuna sehemu nimeona unashindwa kumwacha kwa sababu unampenda ila unashindwa kwa kuwa ukimuacha uchumi utayumba.
Sawa mkuu naomba nikutakie kila la heri. Ningefurahi kama ungetafuta amani na mkeo madam mwenyewe unajua ni utoto unamsumbua jitahidi kumvumilia kadri anavyoendelea kukua akili itamkaa sawa huku nje unakokuja hutopata mapenzi sana sana utachunwa tu ni wanawake wachache wanaweza kuwa na uhusiano na mume wa mtu kwa mapenzi wengi wetu jicho lipo kwenye wallet. All in all maamuzi ya mwisho yako mikononi mwakoNampenda sana na kuhusu uchumi kuyumba ni swala pana.nimefahamiana na mashemeji kabla ya kumuoa kutokana na biashara ila baada ya kumuoa dada yao boom my business grew..
Nashkuru sana,ubarikiweSawa mkuu naomba nikutakie kila la heri. Ningefurahi kama ungetafuta amani na mkeo madam mwenyewe unajua ni utoto unamsumbua jitahidi kumvumilia kadri anavyoendelea kukua akili itamkaa sawa huku nje unakokuja hutopata mapenzi sana sana utachunwa tu ni wanawake wachache wanaweza kuwa na uhusiano na mume wa mtu kwa mapenzi wengi wetu jicho lipo kwenye wallet. All in all maamuzi ya mwisho yako mikononi mwako
Fanya umtie mimba...Hapana
Tena maombi makubwa.UNATUMIA MATATIZO MAKUBWA KUSOLVE MATATIZO MADOGO
UNAHITAJI MAOMBI
HaleluyaI bet you are a married boy, men we have ways of living with women and get the best out of them.
Hii sio madha tongiyo mkuuhivi mnaelewana lugha na mtoa post?binafsi nimetoka kapa