Wanted: Government spin-doctors

Mzee mwanakijiji angefaa sana kwa kazi hiyo. Naamini kabisa Mwanakijiji ni Spin master wa hali ya juu.

Samahani Mwanakijiji ila ndivyo ninavyokuona.
 
Kuna desturi imejengeka kila linapotokea jambo zito lenye kuhitaji mjadala na maamuzi ya kitaifa ambapo hujitokeza suala jingine ambalo hufikia kuhamisha attention ya watanzania juu ya masuala hayo ya kitaifa.Hii kazi wanaifanya kina "spining doctors".Watanzania naomba tuwe makini.Haya yanayotokea huko Nzega si ya hivi hivi.LETS STICK TO THE MAIN POINT, "KATIBA MPYA"usiku mwemeni wandugu
 
nzega kunani?
au maandamano ya "kigwa" si wangemuua tu ndio mjadala ungehama kihalali.
 
Back
Top Bottom