Wanted: Government spin-doctors | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanted: Government spin-doctors

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Apr 2, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,571
  Trophy Points: 280
  LOL!.... Adam Loose Kelo thank you for your excellent contribution

  Wanted: Government spin-doctors
  Adam Lusekelo
  Daily News; Tuesday,April 01, 2008 @19:01

  THE country is open mouthed and waiting to hear about the happenings from Butiama, after some guys in some political party went for a fishing trip to the late Mwalimu's grave. The result? Nothing. Zilch! Just diversions into feeble talk like making Butiama a district.

  But nothing on the stolen billions from the BoT and the power scandals for which billions are being paid to ghosts. You can see that the government has nothing to say. Remember silence gives consent. The money was stolen by senior members of the government and the ruling party.

  You pity the government. All that dosh stolen and they have nothing to say for it? What they need is a posse of spin-doctors to iron out the works for them. The job of a spin-doctor is to give favourable interpretations of events to the media of a party or government. In short – to lie like nobody's business for the party and government.

  You need guys like Dr Joseph Goebbels, Hitler's most brilliant and most fanatical propaganda minister. With Dr Goebbels, Germany was winning World War Two even as Berlin was falling. Or better still, Saddam Hussein's ‘Comical' Ali. Those guys were master spin doctors! Unfortunately our rulers do not have such guys.

  You find such amateurish lying like some guy saying the government knew about the BoT ‘robbery' before Chadema's Wilbrod Slaa blew the whistle on BoT crimes. Now they are silent about Richmond, IPTL, Songas, Kiwira robberies. What they could do is hire my firm- Adulus Lobbying Inc. Serious.

  It is not a ghost company I will churn out sugar coated bitter statements at just dollars 10 a year fee. Serious. This is not late April Fools' Day joke. Fee refundable if not satisfied and happy! Right now the government seems to be busy sweeping things under the carpet. With pitiful results. You just can't sweep a ton of dirt under the carpet because that is where everyone will be looking.

  If I were a government spin-doctor, I would hastily call a press conference. Question: Sir, how come the government paid and is still paying millions to fictitious companies pretending to supply power? Answer: That talk is from agents of US imperialism. The fact is that ghosts went to the ministry of energy and minerals and possessed the ministers concerned and then went and possessed the former prime minister, Edward Lowassa to sign deals with people they did not even know.

  Question: What about the BoT billions? They say most of the money was partly dished out to fund CCM election campaigns… Answer: That is just efforts by the Dalai Lama to tarnish the image of the Tanzanian government. He wants to transfer the district headquarters of Musoma rural to Lhassa in Tibet. This is just propaganda and the Tanzanian government will never be swayed from its socialist path.

  Now, this press conference has come to an end. Now remember this. It is very important to separate CCM from the government. With CCM we encourage dialogue, right? With the government there is a Preventive Detention Act still in play. So the press conference ends and everyone is happy. But the government has been ignoring the art of lying. They should know that it takes brains and great discipline to lie convincingly!
   
 2. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Make it plain Lusekelo!

  Straight talk.This is the Lusekelo I used to read from early Primary School.
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  well Lusekelo just recycled the same article i wrote a year ago

  smart plagiarism
   
 4. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sio wote tulikuwa tunasubiri CCM watikise dunia Butima. Kikwete alishasema ni kikao cha kawaida. Lusekelo acha uongo!
   
 5. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  GT No evidence no right to accuse, where is the article?
   
 6. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  GT,

  Lete evidence. BTW alichandika Lusekelo ni maoni ya wananchi wengi wenye uelewa, ila kaiweka katika form nzuri zaidi inayowasilisha ujumbe na kuchekesha kwa huzuni. Wewe mimi na wao tunafikiria along the same line.

  Naomba utupe huo ujumbe wako wa mwaka jana.
   
 7. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,762
  Trophy Points: 280
  I dont agree with you, because a year ago Lowassa was still in power and on and on....

  In anyway....Hata kama ungeiandika isingekuwa na taste nzuri kama ya Lusekelo! He puts things in a context ya mtanzania wa kawaida kuelewa, something you rarely do!

  Thanks Lusekelo, nadhani kuna watu humu inabidi waisome kwa makini wajifunze namna ya kuwa maspin doctors wazuri..maana wengi wao walio humu JF ni wababaishaji mno.
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Apr 2, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hivi huko serikalini wanalipa lakini.. ?
   
 9. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mwanakijiji,

  Nenda unaweza kuwasaidia sana kwa kushirikiana na Rweyemamu kwi kwi kwi!!!!
   
 10. RR

  RR JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Well GT, the article you 'wrote' a year ago was copied from an article I 'wrote' six years back.
   
 11. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #11
  Apr 2, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Naamini wakitangaza 'Bingo' la kueleweka wanaweza kupata wapika habari wazuri sana na kuweza kusawazisha mambo.

  Ni suala la kutaja dau!
   
 12. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145

  Wanalipa lakini ni kichekesho kidogo. Shida ya watu kama wewe wanayo na itakapofika kwenye mapatano ya Mshahara basi unaambiwa kulipwa sawa na kijana aliyeanza kazi jana na unakua assured kwamba utajilipa mafao mengine mwenyewe toka kwenye ofisi yako plus utapewa semina, trips, na warsha kibao na kukuvuta mmoja atakuchukua nyumbani kwake na kukuonyesha nyumba aliyojenga kwa mtindo huo
   
 13. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #13
  Apr 2, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Jamani huyo GT hamjamjua tu, alikuwa anatania mbona mnambebea bango namna hii?

  Problem ya serikali yetu, kama anavyosema Lusekelo, kila kona imejaa ma-mediocre. Hata huyo Rweyamamu sijui kwa nini hawajamfukuza maana nafikiri hata JK atakuwa anajuta. Alifikiri angekuwa na ushawishi kama alivyokuwa nao kwenye gazeti la Rai enzi zile. Seriously, in the situation that we haven't been able to oust CCM, namtamani sana Mkapa sasa hivi. Huyu jamani amezidi kutuaibisha, maana ni kila kona. Angalu Mkapa alikuwa tunamkandia lakini akipata nafasi ya kuzungumza anatumaliza. Sasa huyu jamaa yaani kila kitu hawezi, kila kitu anamsingizia Mungu.
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,571
  Trophy Points: 280
  Wewe apply tu utakuwa billionaire sasa hivi na JF itaanza kukuita kwa jina la .......:).
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Apr 2, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  ningekuwa upande wao ningeweza kufanya anachosema Lusekelo.. ndio tatizo la kina Rweyemamu wanafuata script mno.. hahahaaa
   
 16. M

  Mitomingi Senior Member

  #16
  Apr 2, 2008
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuhani Mkuu naona unaingia kwa ghadhabu .Utaweza kweli hapa JF ? Anyway karibu na tueleze uongo wa Lusekelo .
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,571
  Trophy Points: 280
  Kitila mimi sioni afadhali ya Mkapa. Mkapa ni fisadi na alikuwa anatutukana Watanzania na kututisha na wakati huo huo anatuibia rasilimali zetu. Pia kuna uwezekano mkubwa biashara aliyokuwa anaifanya Ikulu alikuwa anafanya na serikali na hivyo kutumia wadhifa wake vibaya ili kujitajirisha. Si ajabu anahusika hata katika ufisadi wa EPA si yeye ndiye aliyekuwa Rais wakati mabilioni ya pesa yalipochotwa na kuingizwa CCM kwa ajili ya kampeni za uchaguzi wa 2005? Huyu mwingine naye si ajabu naye ni fisadi ndio maana anaogopa kufanya lolote kuhusiana na mafisadi maana anajua wanayafahamu madhambi yake aliyoyafanya. Kwangu mimi wote hawa ni wa kuweka kapu moja tu hakuna aliye na afadhali.
   
 18. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wewe wewe Game Theory, mbona unajisahau hivyo mshirika?! Yes Mr. Lusekelo might have recycled the same article you wrote a while ago, but ain't it great that he's reminding people of what you said in his own way irrespective of whether he read your article or not?! If anything, it is a compliment!!

  Kuna siku moja Lusekelo aliandika article fulani hivi iliyojaa matusi, wanaJF hawakumchelewesha kumuwashia moto... (article: http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=8542&highlight=Lusekelo). Katika article hii, sioni haja yoyote ya kuanza kumwona kama Lusekelo anatumia 'mafake' ya JF... Ni kweli karibu mambo yote aliyoandika yanatoka JF au yalisha andikwa hapa JF. Tofauti kubwa hapo ni kuwa hajatukana, kusagia wala kuonesha dharau kwa wachangiaji wenzake (wanahabari in his case) moja kwa moja kama ilivyo kwenye baadhi ya posts zako, jambo ambalo nilishalitaja mara mbili tatu kuhusiana na michango yako.

  GT, tukiacha mambo ya kukosoana pembeni; napenda KUKUHAKIKISHIA tu kuwa hoja zako na mchango wako kwa jamii ya Watanzania ni mkubwa sana sana tu. Na nina admire material yako (pamoja na yale yenye utundu :)). Ila mkuu kama unavyonijua tena, pale inapobidi kukosoa, jua wazi sitosita kufanya hivo ndugu yangu.

  Nikisema hivyo napenda kukumbusha tu kwenye hizo self-imposed ethos (admirable though for JF if followed to the letter) zako ambazo mara nyingi unakuta ukizikiuka wewe mwenyewe (ndiyo chanzo changu cha kusema mbona unajisahau sana hapo juu). Basi naomba ukumbuke thread hizi:

  --- nakupeni shule za bure: http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=9218&highlight=nakupeni+shule+bure

  ---masters degree: http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=10646&highlight=master+degree

  Zote mbili 'ulinyakua' kutoka pahali lakini ukashindwa kuzi acknowledge sources.
  Game kwa umakini wako nakuomba usijihukumu tu siku nyingine.
  Peace Bruv!!

  SteveD.
   
 19. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama unaijua CCM, na hulka yake ya kulindana, hukutegemea waibuane wenyewe kwa wenyewe Butiama kwa ufisadi. Mtafaruku wa Richmond umefumuka kwa shinikizo la wapinzani wawili, Slaa na Zitto, wakati wabunge wa CCM, kwa mamia yao, hawakusema lolote, achilia mbali kujaribu kudhibiti hili soo na mazali mengine (Sitta alikataa Makinda asiendeshe kikao bila yeye kuwepo; TUKUKURU walisema dili la EPA halikuwa na mushkeli).

  Hilo Lusekelo alitakiwa kulijua. Lakini, kutokujua hakumaanishi anaongopa. Huwezi kuongopa kama hujui ukweli. Ni mwongo kwa sababu Kikwete alishatangaza kabla ya mkutano kwamba hakuna cha ajabu, ni kikao cha kawaida. Waandishi walimuuliza hili jambo mara mia kidogo, na gazeti la Lusekelo lili ripoti ni nini CCM na Kikwete wamesema kitegemewe Butiama. Kwa hiyo Lusekelo alijua ukweli, akadai vinginevyo.

  Sasa unajiuliza niko upande gani, CCM au kina Lusekelo, wapinga ufisadi? La Hasha! Nachezea timu ya Ukweli.
   
 20. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2008
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mimi nadhani ya kuwa spin doctors wa serikali hawana kazi kubwa maana media ya Bongo kwa kiasi fulani inafanya kazi yao au to be more correct haifanyi kazi! Na ninaomba nisisitize that I don't like to generalize, najua wapo waandishi ambao hawaogopi kuandika ukweli na wanafanya utafiti wa kutosha. Lakini majority wanasubiri kupewa story na hata kuandikiwa wapewe na vibasha wamemaliza kazi. Na hapa naomba nisiwalaumu wanidishi wenyewe bali tuzungumzie nafasi kubwa ya wahariri na wamiliki.
  But change is on the way na kama Zimbabwe wamewaangusha ZANU PF, CCM nayo ijitayarishe 2010 iwape nafasi vyama vingine watuonyeshe wanaweza kutusaidia vipi, maana CCM wamekuwashakuwa wachovu.
   
Loading...