Wanted: Diwani Rasta wa CHADEMA Arusha

Status
Not open for further replies.

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,204
128,011
54966_10150095951155993_548525992_7570059_6235744_o.jpg
Kati ya wale madiwani kadhaa wa Arusha waliovuliwa udiwani kuna Rasta mmoja aliyejipatia umaarufu kwa jina la Charles David Mpanda. Jamani diwani rasta wa Arusha kata ya Kaloleni kwa tiketi ya chadema ila kwa sasa amevuliwa uanachama na udiwani CDM na anatafutwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa wizi wa fedha tathlim USD 16,400/= alioufanya kwa dada Magreth ambaye alikua ni mchumba wake kabla na baada ya kuukwaa na kutoswa kwenye udiwani kata ya Kaloleni kupitia Chadema Arusha mjini.

Diwani Rasta aliyekua akiwakilisha kwa tiketi ya CDM kaloleni Arusha alikua ni mmiliki wa kampuni ya utalii jijini arusha kwa jina la AFRICAN ZOOM , Na dada Magreth ambaye alikua ni mchumba wa Rasta naye alikua akimiliki kampuni yake ya utalii kwa jina la TANGANYIKA ACCENT ROOT.

Baada ya kuanza uhusiano wa kiuchumba baina ya diwani Rasta na dada Magreth waliamua kuunganisha kampuni zao zote na kuifanya kampuni kuwa moja na kuitwa AFRICAN ZOOM & TANGANYIKA ACCENT ROOT na Diwani Rasta ndiyo aliyekua mteule wa kusign Cheque zote na kutoa pamoja na kupokea fedha zote ktk matumizi ya kampuni hii kupitia bank .

Baada ya diwani rasta kupigwa chini katika kiti cha udiwani wa Chadema kata ya Kaloleni Arusha hivi majuzi amemuibia mchumba wake USD 16,400 kwenye kampuni yao na amekimbilia Marikani leo hii. Dada Magreth amegundua kuwa diwani rasta ambaye alikua ni mpenzi wake kamuibia na ametorekea marekani na kimada wa kizungu baada ya kusikia kua jamaa alikua anaranda mitaani kumtafuta mtu wa kumkabithi gari ili asepe tena gari ambalo alipewa kwa ajili ya kutembelea na Dada Magreth kipindi cha kazi yao ya pamoja ya utalii. Nawakilisha .

N.B kama kuna muandishi wa habari mwenye shida ya kuwasiliana na Mchumba wa Diwani Rasta wa kaloleni Arusha na kumuhoji zaidi juu ya hili na kujua undani wa tukio hili la uwizi wa USD 16,400/= ani- PM.

Mpaka naondoka mitamboni mtaa wa SOWETO mkoani Arusha, dada Magreth aliyeibiwa pesa za kampuni na diwani rasta kwa sasa yupo safarini kuelekea Marekani kumkamata Rasta uyu aliyekimbilia huko baada ya kupata dada wa kizungu kwa jina la Pamela mkazi wa America .
 
Hapo kwenye bolded red, nadhani ulitaka kuandika USD 16,400. Anyway, sina taarifa za huyu Rasi tokea alipokuwa akipita mitaani na kuzomewa na wananchi. Hope hajatokomea ughaibuni.
 
Ninachokiona mimi hapo ni wivu wa mapenzi, sasa kama yeye ndiye anayesign check kunaubaya gani kuchukua kiasi anachohitaji kwaajiri ya kuburudisha roho yake... Udiwani hana, hata mapenzi akose? hakuna kosi hapo! ameenda kutafuta masoko na kuitangaza biashara yake.
 
jamani haya ni mambo ya kifamilia yaacheni kweli familia hatujui mtu na mpenzi nini hasa kilichotokea watu wawili wanapokuwa wanaishi
pamoja na kuachana mambo mengi yanaibuka na mengi unakuta ni hasira za kuachana tu.
 
huyo sugar mamy mage si dada yake na mke wa lema mb? eehe ndo akome kufuata viserengeti boyz anafkiri pesa itampa kila kitu najua yuko addicted na vijana wadogo aende tena clock tower atapata fly catcher mzuri tu tena rasta aje tena wafungue kampuni charles ashasepa ndo issue iliyobaki
 
duh, kweli nimeamini sikio la kufa halisikii dawa,,,,huyu jamaa kama ni kweli anafanya vitendo vya namna hii, basi ni mnafiki kuliko,,,
Mkuu jamaa baada ya kupigwa chini Chadema ameamua kunyoa rasta kuepusha zomea-zomea za raiya wa arusha . Na hapa yupo na mama mpya wa kizungu Pamela: ras na mama zungu.jpg
 
ngoja akifika huko marekani atoswe na huyo mama wa kizungu ndo atakoma, wazungu hawataki watu wanafiki.
 
jamani haya ni mambo ya kifamilia yaacheni kweli familia hatujui mtu na mpenzi nini hasa kilichotokea watu wawili wanapokuwa wanaishi
pamoja na kuachana mambo mengi yanaibuka na mengi unakuta ni hasira za kuachana tu.

ikumbukwe huyo dada alieachwa ni dada yake lema..
 
dola za kimarekani Sh. 16,400??

KUna dola sh. kweli?
MTM mbona kuna sehemu nyingi hata wewe huwa unakosea, hebu angalia maudhui ya mleta habari kama ni material! Huyu jamaa nadhani amekosa shukrani kabisa akipigwa chini huko USA sitashangaa kama atakuja na kuomba msamaha kwa huyo demu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom