Want to bleach naturally? Here is how!

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,711
4,642
If you struggle with skin discolorations, blemishes, they can be evened out, here's how to do it naturally.

A lot of ladies feel the need to

For some, the desire to have even skin tone is a major reason why they do and while maintaining the skin is totally different from using chemicals to bleach (bleaching comes with a lot of side effects), blemishes can be lightened to keep skin looking youthful and tomatoes come handy as natural bleaching agents without side effects.

This fruit helps to lighten the skin for an even skin tone or to clear dark spots. They come loaded with anti oxidants while helping the skin remain brighter.

Tomatoes also work as a natural astringent that helps tighten the skin as well as shrink large pores, leaving the skin tight and glowing.

See two ways to use tomatoes to give the skin a healthy glow in no time.

1. Tomato Honey Mask

What you need:

Fresh Tomato Juice

Honey

Directions:

Strain tomato juice into a container

Mix 2 tablespoon of honey (with equal part of tomato juice)

Wash/cleanse the face

Apply the mix on clean face and leave it on for 15-20 minutes

Rinse off with water.

Credit: Share Truth
FB_IMG_1588220732232.jpg
 
More tip:

Tomato+lemon+ asali

Grate tomato 1, 1tbs lemon+1tbs asali

Changanya hiyo paste paka usoni acha kwa dakika 10 mpaka 15 nawa.

Faida..skin glowing,inasaidia ngozi isizeeke,inatibu ngozi iliyoathirika na mionzi ya jua, inang'arisha, inaweza kukusaidia kutibu baadhi ya magonjwa ya ngozi.
 
Credit: Share TruthView attachment 1435131
Asante dear. Nimewaza nitafute Tomato Gel nichanganye na asali..... Wakati wa kupaka niweke Ndimu....!!!
 
Attachments

  • Koelcia-Tomato-Soothing-gel-price-in-bd.jpg
    Koelcia-Tomato-Soothing-gel-price-in-bd.jpg
    62.6 KB · Views: 7
More tip:

Tomato+lemon+ asali

Grate tomato 1, 1tbs lemon+1tbs asali

Changanya hiyo paste paka usoni acha kwa dakika 10 mpaka 15 nawa.

Faida..skin glowing,inasaidia ngozi isizeeke,inatibu ngozi iliyoathirika na mionzi ya jua, inang'arisha, inaweza kukusaidia kutibu baadhi ya magonjwa ya ngozi.
Kuondoa Makunyanzi usoni.... Tutumie products zipi dear??? Antaging ipi huwa Ni nzuri???
 
Kwa uzoefu wangu binafsi nitakuambia tumia vitamin c serum yenye quality nzuri, kwa upande wa cream nina uzoefu na products za olay, garnier,na loreal. Sasa pia zingatia uko umri gani ili ujue unataka aina ipi, pia kuna za usiku na mchana.

Face wash nina uzoefu na olay products, clean and clear, neutrogena, na Acnes vitamins zote ni nzuri sasa hapo itategemea na nature ya ngozi yako ili kupata inayoenda vzr na wewe.

Toner ni rose water unamix kdg na aloe vera gel, hii unaweza itumia kama face mask ukaipaka na kunawa baada ya dakika 15 au 20. Au unaweza itumia kama toner yani unaipaka kabla ya kupaka serum, unaweza kugoogle pia kujielimisha benefits zake aloe na rose water ni best combination ya kurutubisha ngozi.

Mwisho nitakushauri uwe una apply oil sasa hapa inategemea na ngozi yako, nazi,olive,vitamin e,argan, rosehip,ziko kibao lakini kati ya hizo unaweza tumia. Kama hujawahi kabisa anza na nazi matone mawili tu unapaka mwishoni kabisa ukiwa umeshamosturize uso, bila kusahau sunblock au nunua cream zenye SPF kubwa.

Kila la kheri.
 
Asante Sana dear kwa ushauri huu mzuri Sana. Hapo kwenye kupaka mafuta usoni.... Ngozi yangu ya usoni Ina mafuta mengi sana sana sana. Nina zaidi ya miaka 15 sijawahi kupaka mafuta yenye oil.... Nitafurahi pia ukinishauri katika eneo hiki pia. Asante.
 
Unaposema mafuta yenye oil nadhani sijakuelewa, nilipotaja oil nilimaanisha mafuta ya maji sasa kwa ngozi yako yenye mafuta geranium oil,jojoba oil,tea tree oil,marula oil ni best option kwako. Kama uso wako uko sensitive sana na huwa unapata chunusi au rashes nakushauri tea tree.

Kupaka oil haimaanishi kwamba ndio usipake moisturizer pia oil unaweza kuitumia kusafishia uso, na katika zile product nilizokutajia au nyingine yoyote utakayochagua lazima umwambie muuzaji akupe ya watu wa oily skin. Products hutengenezwa tokana na aina za ngozi za watu, yaani dry skin,normal,oily skin na wale wenye combination skin. Hivyo utapata inayoendana na ngozi yako. Nadhani nimekujibu
 
Asante Sana kwa shule hii Tamu.

Nashukuru Sana.
 
Back
Top Bottom