Wangapi wamesoma kitabu hiki

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Wangapi wamesoma kitabu hiki? nakumbuka kukisoma nilipokuwa mdogo na kiliniburudisha sana.

Kisiwa chenye Hazina.jpg
 
Ebana hiki kitabu kiko poa sana, na mimi nakikumbuka sana.
 
Mmh! Isije ikawa ni tafsiri ya Treasure Island kilichoandikwa na Robert Louis Stevenson

Characters ni Long John Silver, Jim Hawkins, Billy Bones, Dr. Livesey, Ben Gunn, Squire Trelawney, Captain Alexander Smollett, Abraham Gray, Job Anderson, Israel Hands na meli yao inaitwa Hispaniola

Treasure_Island-Scribner%27s-1911.jpg
 
inawezekana mkuu maana wabongo kwa kucopy na kupaste tu hatujambo.
 
Mimi ninacho hadi leo hii cha kiswahili. Niko nacho zaidi ya miaka ishirini pamoja na kile cha Mashimo ya mfalme Suleiman.
 
Mmh! Isije ikawa ni tafsiri ya Treasure Island kilichoandikwa na Robert Louis Stevenson

Characters ni Long John Silver, Jim Hawkins, Billy Bones, Dr. Livesey, Ben Gunn, Squire Trelawney, Captain Alexander Smollett, Abraham Gray, Job Anderson, Israel Hands na meli yao inaitwa Hispaniola

Treasure_Island-Scribner%27s-1911.jpg

Ndio chenyewe wametafsiri hata kwenye dibaji na mwisho wameandika kabika kuwa wamefanya hivyo ili kuleta ubora na hamasa kwa hadithi za watoto kimetafsiriwa zaidi ya miaka 40 iliyopita
 
Mimi ninacho hadi leo hii cha kiswahili. Niko nacho zaidi ya miaka ishirini pamoja na kile cha Mashimo ya mfalme Suleiman.

mashimo ya mfalme suleiman na alifu lela ulela vilikuwa among .y best enzi nikiwa dogo aisee.....
 
Zamani kulikuwa na vitabu vizuri venye mafundisho mazuri na vyenye kuongeza uwezo wa kufikiri,mfano:the animal farm,the great expectation[Oliver twist],alice in the wonder land etc.Mfano kwenye kkitabu cha Alice katika nchi ya ajabu kuna msemo nina ukumbuka hadi leo ambao una reflect reality ya maisha: Alice baada ya kuwa amepotea njia alijikuta kwenye nchi ya mazimwi,na ghafla asijue pa kwenda akakutana na zimwi mmoja akamuuliza:IPI NI NJIA YA KWENDA NYUMBANI KWETU?Zimwi akamuuliza Alice,KWANI NYUMBANI KWENU NI WAPI?Alice akajibu nimepotea njia sijui nyumbani ni wapi,hapo Zimwi akasema: KAMA HUJUI UNAKOTAKA KWENDA NI WAPI BASI NJIA YOYOTE UTAKAYOCHUKUA ITAKUFIKISHA
 
tusaidie link tuvipakue nakumbuka nilikisoma zamani sana mpaka nimesahau kinahusu nini labda nilisoma heading! tehetehe
 
Mmh! Isije ikawa ni tafsiri ya Treasure Island kilichoandikwa na Robert Louis Stevenson

Characters ni Long John Silver, Jim Hawkins, Billy Bones, Dr. Livesey, Ben Gunn, Squire Trelawney, Captain Alexander Smollett, Abraham Gray, Job Anderson, Israel Hands na meli yao inaitwa Hispaniola

Treasure_Island-Scribner%27s-1911.jpg
Dah those were the days, Btw mkuu ni kitabu hikihiki.. Namkumbuka sana Jim Hawkins alikuwa na bastola uyu jamaa then kuna Mwamba anaitwa Jan Fedha.. alikuwa na Mguu mmoja ila hatari sana!

Good Old Days!
 
Back
Top Bottom