Teeh,teeh hongera mkuu.Kwa mtaji huo wa kijana wa Lushoto, Nina shaka mkuu yaweza kuwa nshakula sana mkuu
Mkuu huoni hayo mapaja yalivyonona?.Hengera tena!!!!
...eeee karibu ule !Mkuu huoni hayo mapaja yalivyonona?.
Ukiwa na uchu wa nyama hata ukiambiwa kabla ya kumla,kwamba hii ni nyama ya mbwa unaweza ukaendelea na kumla.
By the way,pole mkuu kama ushawai kulishwa nyama ya mbwa au kunguru bila ya mapenzi yako.
Lakini mkuu kuna kabila fulani fulani mbwa kwao ni kitoweo kizuri hapana kifani.