Wandungu airtime rate imepanda

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Wadau jana nilikuwa najimwaya mwaya na ka Airtel kangu nikiongea na mzaa chema nikijua kuwa ukiwa na Airtel mambo ni nusu shilingi kwa sekunde, mara nikasikia kisauti kilichokuwa kinani-alart kuwa salio linaisha nikapuuzia kwa sababu nilijua nilikuwa nimeweka ki mia tano na kwa mahesabu yangu ningeongea kwa dk siyo pungufu ya 8.... mara simu ikakatika nilipocheck salio ilikuwa sh1.36 nikahamaki kumbe wenyewe walishapandisha bei tangia majuzi na hawajatujulisha!

Kuweni makini msije adhirika kama mie~~~
 
Mkuu, utakuwa ulijisahau ulimpigia kwenye line yake ya Voda!
Mbona mimi nalonga kwa jero mpaka basi!
 
hawa jamaa hawako makini sababu wakati mwingine unaweza kulonga na wasikate salio kabisa wakati mwingine ukiweka crdt haichukui round inakata
 
ila unataka kutudanganya hapo kwenye salio kubaki sh 1.36, hawa majamaa mwisho huwa ni sh 4 afu hawaonyeshi decimals
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
ila unataka kutudanganya hapo kwenye salio kubaki sh 1.36, hawa majamaa mwisho huwa ni sh 4 afu hawaonyeshi decimals
<br />
<br />
hawa jamaa wao wanajifanya wanapiga hesabu halafu haikai kama sms ili ujue ni shilingi ngapi na muda gami uliokatwa..
 
hawa jamaa hawako makini sababu wakati mwingine unaweza kulonga na wasikate salio kabisa wakati mwingine ukiweka crdt haichukui round inakata
<br />
<br />
ukiona hali hiyo piga sio kwa watu wote uapendao ili wakija kukata utakuwa ushamaliza shida zako..
 
hiyo robo shiling ni kwa dar tu lkn kwa mikoani inakula takribani tsh 1.5 uiwizi tu.
 
Back
Top Bottom