Nimekaa singo kiasi ambacho nimechoka na upweke. Sasa natafuta binti ili tuweze kufanya maisha.
Vigezo
1. Mkristo (mkatoliki ni added advantage)
2. Maji ya kunde au mweupe
3. Mwili wa wastani
4. Diploma na kuendelea
5. Miaka 24 - 28
6. Mzuri
7. Awe serious na hili jambo
Mimi
1. Mkatoliki
2. Black
3. Mrefu, mwili wa wastani
4. Shahada
5. Miaka 34
6. Wa Kawaida
7. Niko serious
8. Kwa sasa hela haijanitembelea
Nadhani nimeeleweka hapo wandugu. Just PM ladies na mengine yataendelea huko sirini