sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 645
Nilikuwa na rafiki wa kike(mwalimu) kwa muda wa miezi kama 3 hivi tokea tuanze uhusiano wetu,Wiki 2 zilizo pita alienda kumuona mama yake kijijini,baada ya jufika huko katika maongezi tu ya kawaida na kaka yake,akamuuliza maswala ya mahusiano(relation) binti akamwambia kaka yake kuwa yupo na mimi(kuna maelezo mengine aliyatoa nadhani),baada ya kumjibu hivyo kakamtu akamuuliza vipi kuhusu Ally?umemwambia?isije akawa anakusubiria kumbe wewe tayari unamtu mwingine.(Ally ni jamaa ambaye binti alikuwa naye kabla yangu) kwa kifupi alishawahi kuniambia pindi namtokea.
Binti bila kutuliza akili akampigia simu Ally (yupo mwanza kwa sasa) nakumuuleza kwa kirefu kuwa its over,Jamaaa akaja juu kwanini?ahaaa kama ndio hivyo me nipo tayari kubadili dini mambo mengi yakaongelewa kwa mujibu wa binti.Binti akarudi Dar es salaam kutoka kijijini,alivyo rudi tu siku ya kwanza nikagundua kitu,alikuwa amebadilika(kwa wale wataalamu watakuwa wananilewa)yaani anakuwa tofauti katika mazingira ya kutatanisha(ghafla) nikamuuliza kulikoni?akujibu,nikaondoka,sijafika mbali nikapigiwa simu kucheki namba ni mpya ,nikapokea nakuuliza nani?akijibu ally,ally?
kutoka wapi ahaa mi nipo mwanza nimepeta namba yako kwa .....,nikamwambia piga kesho sasa hivi nipo sehemu mbaya atutasikilizana(ili nipate muda wa kumuuliza binti inakuaaje umempa namba yangu ally na mambo mengine kuwa kuna nini kinaendelea)nikarudi tena kwa binti nikamuuliza vipi kuna nini kinaendelea,binti akaanza kuangusha chozi jingi sana mara haaa mnanchanganya sijui nini maneno mengi sana,nikamuuliza anaye kuchanganya nani?kama sio wewe mwenyewe ndio unajichanganya?Wewe ndio wakufanya maamuzi sio kuanza kulia nakuzuga hapa,hakuna anaye kuchanganya hapa,mara najuta kwanini nilifuata ushauri wa kaka.Tokea hapo binti ameniambia nimuache kwanza hadi atakapo tulia.
Sasa wana jf naombeni ushauri wenu binti ndio kama hivyo tena nasababu ya kuachana na Ally ilikuwa ni dini tu na sio sababu nyingine,na jamaa ajanipigia tena simu hadi leo.