Wandugu naombeni ushauri wenu:

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
644
Nilikuwa na rafiki wa kike(mwalimu) kwa muda wa miezi kama 3 hivi tokea tuanze uhusiano wetu,Wiki 2 zilizo pita alienda kumuona mama yake kijijini,baada ya jufika huko katika maongezi tu ya kawaida na kaka yake,akamuuliza maswala ya mahusiano(relation) binti akamwambia kaka yake kuwa yupo na mimi(kuna maelezo mengine aliyatoa nadhani),baada ya kumjibu hivyo kakamtu akamuuliza vipi kuhusu Ally?umemwambia?isije akawa anakusubiria kumbe wewe tayari unamtu mwingine.(Ally ni jamaa ambaye binti alikuwa naye kabla yangu) kwa kifupi alishawahi kuniambia pindi namtokea.

Binti bila kutuliza akili akampigia simu Ally (yupo mwanza kwa sasa) nakumuuleza kwa kirefu kuwa its over,Jamaaa akaja juu kwanini?ahaaa kama ndio hivyo me nipo tayari kubadili dini mambo mengi yakaongelewa kwa mujibu wa binti.Binti akarudi Dar es salaam kutoka kijijini,alivyo rudi tu siku ya kwanza nikagundua kitu,alikuwa amebadilika(kwa wale wataalamu watakuwa wananilewa)yaani anakuwa tofauti katika mazingira ya kutatanisha(ghafla) nikamuuliza kulikoni?akujibu,nikaondoka,sijafika mbali nikapigiwa simu kucheki namba ni mpya ,nikapokea nakuuliza nani?akijibu ally,ally?

kutoka wapi ahaa mi nipo mwanza nimepeta namba yako kwa .....,nikamwambia piga kesho sasa hivi nipo sehemu mbaya atutasikilizana(ili nipate muda wa kumuuliza binti inakuaaje umempa namba yangu ally na mambo mengine kuwa kuna nini kinaendelea)nikarudi tena kwa binti nikamuuliza vipi kuna nini kinaendelea,binti akaanza kuangusha chozi jingi sana mara haaa mnanchanganya sijui nini maneno mengi sana,nikamuuliza anaye kuchanganya nani?kama sio wewe mwenyewe ndio unajichanganya?Wewe ndio wakufanya maamuzi sio kuanza kulia nakuzuga hapa,hakuna anaye kuchanganya hapa,mara najuta kwanini nilifuata ushauri wa kaka.Tokea hapo binti ameniambia nimuache kwanza hadi atakapo tulia.

Sasa wana jf naombeni ushauri wenu binti ndio kama hivyo tena nasababu ya kuachana na Ally ilikuwa ni dini tu na sio sababu nyingine,na jamaa ajanipigia tena simu hadi leo.
 
wewe unampenda huyo binti?
maana wewe pia maamuzi yako yanaweza badilisha kila kitu

Mi nampenda lakini katika maongezi yake inaonekana yupo kwa ally kwasababu anasema alikuwa naye kwa muda mrefu sana kabla ya kukutana na mimi,ila kitu ambacho kinampa wasiwasi kwa nini akubali kubadili dini leo hii?
 
Hana msimamo huyo mwanamke, pia inaonekana bado anampenda Ally na alishamtambulisha kwa ndugu zake.

Sizani kama hili ni tatizo kubwa hebu mpe nafac atafakari kwa kina kama anakupenda kwel atakutafuta ila kwa upande wako usimtafute
 
Kwa nini mnapenda kuingilia mapenzi ya watu? wapo wasichana wengi ambao wanatafuta mtu wa kuwa na mahusiano nae hao ndio wanaokufaa, wapenzi hawawezi kuachana kwa sababu ya dini, huyo hata kama uatamuoa Ally ataendelea kummega kama kawaida na upo uwezekano yeye ndio atampa mimba na wewe ndio utalea.
Jambo usilopenda kufanyiwa basi na wewe usimfanyie mwenzako.
 
Huyo hakutaki tena keshabadili mawazo yamerudi kwa Ally angalia ustaarabu mwingine wala si wa kumsubiria tena
 
Hana msimamo huyo mwanamke, pia inaonekana bado anampenda Ally na alishamtambulisha kwa ndugu zake.

Sizani kama hili ni tatizo kubwa hebu mpe nafac atafakari kwa kina kama anakupenda kwel atakutafuta ila kwa upande wako usimtafute
Nimekupata kwa ushauri mzuri sana,mi kwasasa hivi nimemchunia kwanza.
 
Wasichana siku hizi wana mbinu sana, inaweza kuwa anataka uwe serious hivo katafutwa Ally hewa na wewe kuambiwa uongo mtupu ili akuone utallichukuliaje, au kupima kama upo serious, ni mtzamo tu sio lazima iwe kweli
 
endelea kushika pembe. Ally akibadili jini anachukua kifaa chake. Kwanza inaònyesha familia ya ally haina tatizo
 
Back
Top Bottom