Wanazuoni wa Kiislam tusaidieni.. Hizo quotation za Ustadhi Hamza ni za kweli

Huyu Hamza hana tofauti na mtu anayejiita Dr. Paul Hussein Mubarak anayedai ana digrii tatu alizosomea nchi za Tanzania, Egypt, Iran Saudi Arabia na kukabidhiwa degree hiyo na jini mbele ya Saddam Hussein, Muammar Gaddafi, Yasir Arafa na Rais wa Egypt. Ni mwongo!!!
 
Wakati wote wajinga ndio waliwao!

Kwanza kabisa huyo HAmza anawashushua hao anaowahubiria kwamba Yesu si Mungu ! kwa sababu wenyewe kila siku wanajikaririsha kuwa Yesu ni Mungu ! Msikilize vizuri anasema kuwa "Mungu anasema huyu ndi mkombozi" maana Kuna Mungu halafu kuna Yesu ambae kama ametumwa na Mungu 1 kwa mantiki hiyo kwa misemo yake huyo HAmza Yesu ni Mtume. Ameenda mbali zaidi na kusema "Huyu ni Binadamu wa aina yake" hapo mjitafakari nyie mnaemuona anawahubiria! nadhani anafikisha neno lililo na yakini kabisa ndani yake!

Sisi Waislam wote tunajua kila Mtume alikuwa na miujiza yake na NAbii Mussa (Juu yake iwepo Amani ) Nabii Issa (Juu yake iwepo Amani) Nabii Suleiman (Juu yake iwepo Amani) Na bii Muhammad (Swala na salaam ziwe juu yake) wote kila mmoja alikuwa na miujiza yake.

NA kuna mitume ilizidi miujiza mmoja wapo Nabii Issa (Juu yake iwepo Amani) nani asiejua? nimefurahi kuwarekebisha kuwa Yesu si Mungu... ni Mja wa Mungu na ni Binadaamu mwenye kipaji alichojaaliwa na Mungu ambacho hakuwahi kumjaalia mja yeyote! endeleeni kumsikiliza huenda MKAZINDUKA!!!

Pili anayoyaongea sisi wote Waislam tunaamini Nabii Issa (Juu yake iwepo Amani) hakufa alipaishwa na Menye ez Mungu na ipo siku atarudi kutukomboa! HILO HALINA UBISHI!

Kabla ya kuja Nabii Issa (Juu yake iwepo Amani) kututokea " MAsih Dajjal" kwa lugha yenu "Mpinga Kristo" akitokea huyu basi baada ya hapo atashuka NAbii Issa (Juu yake iwepo Amani) kuja kuokoa Umma! sasa sijui kuna kitu gani tafauti na wanachoamini waislam!

Mengine ni njaa tu huwa zinatusumbua! si unajua watu wanalalamika kuwa hali mbaya nje huko?

Na Kwa haya nawaombea Rehma na Amani ziwe juu yenu !
 
Aksante na wewe kwa kumuunga mkono huo muhubiri bila kujua, sasa kama Yesu atakuja kuokoa umma, kwa nini musimuamini yeye bado mnangangana na huyo jamaa wenu aliekuwepo kisha akasepa na kuwaacha solemba? wala hatarudi tena kwenu kwamaana na yeye pia yupo anangoja hukumu kutoka kwa Yesu.
 
Mkuu Mkomatembo,

Asante sana kwa post hii, nikiri wazi kwa namna yake,Imenifikirisha sana. Sasa naomba niulize swali dogo lisilokuchukulia muda wako sana....

"Ikiwa ninyi mnaamini kwamba Yesu atakuja tena kutukomboa baada ya Mpinga kristu kuja, na kwamba mnajiweka tayari kwa Ukombozi huo, Basi tofauti yenu na sisi kiimani ni ipi"?

Lapili, Kama hivyo ndivyo, Je Mkuu kati ya Nabii Issa na Mtume Muhamad (S.A.W) ni nani?? Je ni sahihi kuelekeza imani yetu kwa yule ambaye anasubiri hukumu kama sisi (sijui kiimani hii kwenu imekaaje) Au yule Atakayekuja kutukomboa?

Ni hayo tu mkuu

PEACE BE UPON YOU!.
 
Tupeni mwanga zaidi Wakuu... Na hoja ama tafsir za huyo jamaa... Wanazuoni wa kiislam mnazizungumziaje...
 
Aksante na wewe kwa kumuunga mkono huo muhubiri bila kujua, sasa kama Yesu atakuja kuokoa umma, kwa nini musimuamini yeye bado mnangangana na huyo jamaa wenu aliekuwepo kisha akasepa na kuwaacha solemba? wala hatarudi tena kwenu kwamaana na yeye pia yupo anangoja hukumu kutoka kwa Yesu.
Nini huyo Issa sisi tunamtambua mpaka bi Maryam aliyemzaa Issa ndio maana katika mabishano mnapomkashifu Nabii Muhammad (Rehema na amani iwe juu yake) sisi hatumkashfu au kumtukana Nabii Issa kwa mfuatiliaji wa hii mijadala humu JF anajua kabisa kwamba mmoja wetu akikosea huwa tunakatazana humu kumkashfu Issa kwa sababu habari zake tunazijua sana tena kuliko hata ninyi mnaojiita wafuasi wake. Uislam hauna mafumbo tunafafanuliwa kila kitu. Kila mchonafundishwa kuhusu Issa sisi tunakijua zaidi kwa anayejua Islam na uislam huwa habishani nao kabisa
 
Mkuu Mkomatembo,

Asante sana kwa post hii, nikiri wazi kwa namna yake,Imenifikirisha sana. Sasa naomba niulize swali dogo lisilokuchukulia muda wako sana....

"Ikiwa ninyi mnaamini kwamba Yesu atakuja tena kutukomboa baada ya Mpinga kristu kuja, na kwamba mnajiweka tayari kwa Ukombozi huo, Basi tofauti yenu na sisi kiimani ni ipi"?

Lapili, Kama hivyo ndivyo, Je Mkuu kati ya Nabii Issa na Mtume Muhamad (S.A.W) ni nani?? Je ni sahihi kuelekeza imani yetu kwa yule ambaye anasubiri hukumu kama sisi (sijui kiimani hii kwenu imekaaje) Au yule Atakayekuja kutukomboa?

Ni hayo tu mkuu

PEACE BE UPON YOU!.
Nikujibu kwa kifupi sana
1. Tofauti kiimani ni kwamba Nabii Issa si Mungu na wala si mwana wa Mungu, Mungu hakuzaa wa hakuzaliwa na hana anayefanana naye.

2. Wote ni wajumbe (mitume) wa Mungu
Mkuu viongozi wenu wa dini wanajua hilo.

Naomba nikuulize swali dogo sana nijibu kwa kifupi kama nilivyokujibu wewe

Kama Nabii Adam aliumbwa bila baba wala mama, na kama Bi Hawa (Eva) hakuwa na mama alitoka katika ubavu wa mwanaume, hakuna hata mmoja kati yao aliyeitwa Mungu au mtoto wa Mungu, kwa nini Nabii Issa aliyezaliwa na mwanamke bila baba (hapo nimeeleweka) tena kwa njia ya kawaida mkamwite Mungu?
 
Nini huyo Issa sisi tunamtambua mpaka bi Maryam aliyemzaa Issa ndio maana katika mabishano mnapomkashifu Nabii Muhammad (Rehema na amani iwe juu yake) sisi hatumkashfu au kumtukana Nabii Issa kwa mfuatiliaji wa hii mijadala humu JF anajua kabisa kwamba mmoja wetu akikosea huwa tunakatazana humu kumkashfu Issa kwa sababu habari zake tunazijua sana tena kuliko hata ninyi mnaojiita wafuasi wake. Uislam hauna mafumbo tunafafanuliwa kila kitu. Kila mchonafundishwa kuhusu Issa sisi tunakijua zaidi kwa anayejua Islam na uislam huwa habishani nao kabisa
Ndugu yangu, utetezi wako hauna tija, nimehudhuria mihadhara mingi sana ya kiisilamu, ukinikuta kwenye shughuli zangu ukiambiwa kuwa mimi sio muisilamu utakataa kabisa, nawajua waisilamu sana na vichwa vyao navijua sana. ukisema kuwa waisilamu hawamkashifu Yesu unasema uongo kuna ambao hiyo ndio furaha yao, kwenye miazara wala hawataongelea imani yao, wao mwanzo mpaka mwisho ni Yesu tuuuuuuuuuuuu.

Sisi wakristo tunahubiri uzuri wa Yesu na furaha na amani ndani ya wokovu na kuishi maisha matakatifu, ili mtu ajitafakari nakuamua kwa moyo wake mwenyewe kumkubali Yesu. Ninyi ndugu zangu mnahubiri ubaya wa ukristo ili kufanya watu watoke huku ili kuja kwenu kisha wakija huko wanaona ndo kubaya zaidi afadhali kuwa bila na imani yoyote.

Siku waisilamu mkaacha kuhubiri mambo yasiyo yenu, kisha mkahubiri huo uzuri wa Imani yenu ( kama upo basi), ndipo nitakapojua kuwa mmekuwa kiufahamu.
Najua kuwa wapo waisilamu wachache sana wanaojitambua wasiopenda kuchanganya mambo yasiyo wahusu, wao wana dili na imani yao, wakitaka kuijua kwa undani.

Ukiangalia huyu muhubiri yeye japo anatumia msahafu kuhubiri katika kanisa, yeye anaongea habari za Yesu tu, hana muda wa kuongea habari za huko kwenu, yeye anaenjoy utamu wa kumjua Yesu huku akitamani na ndugu aliowaacha huko waujue ukweli juu ya Yesu, sio kujua ubaya wa imani ya huko.
 
Huyu Muhindi kamaliza kila kitu, hakuna mwenye uwezo wa kumpinga huyu jamaa maana anaongea kwa maandiko tena ndani ya korani kabisa. Nimemuelewa sana alipomuuliza shehe wake kuwa Mungu aliumbaje dunia, shehe naye bila hiana akamwambia aliumba kupitia neno. Yesu ndiye neno la Mungu, Yesu ndiye Mungu mwenyewe. Biblia inasema pasipo neno (Yesu) wala hakuna chochote ambacho kingefanyika. Yohana 1:1....
 
Asante
Huyu Muhindi kamaliza kila kitu, hakuna mwenye uwezo wa kumpinga huyu jamaa maana anaongea kwa maandiko tena ndani ya korani kabisa. Nimemuelewa sana alipomuuliza shehe wake kuwa Mungu aliumbaje dunia, shehe naye bila hiana akamwambia aliumba kupitia neno. Yesu ndiye neno la Mungu, Yesu ndiye Mungu mwenyewe. Biblia inasema pasipo neno (Yesu) wala hakuna chochote ambacho kingefanyika. Yohana 1:1....
 
Nini huyo Issa sisi tunamtambua mpaka bi Maryam aliyemzaa Issa ndio maana katika mabishano mnapomkashifu Nabii Muhammad (Rehema na amani iwe juu yake) sisi hatumkashfu au kumtukana Nabii Issa kwa mfuatiliaji wa hii mijadala humu JF anajua kabisa kwamba mmoja wetu akikosea huwa tunakatazana humu kumkashfu Issa kwa sababu habari zake tunazijua sana tena kuliko hata ninyi mnaojiita wafuasi wake. Uislam hauna mafumbo tunafafanuliwa kila kitu. Kila mchonafundishwa kuhusu Issa sisi tunakijua zaidi kwa anayejua Islam na uislam huwa habishani nao kabisa
Tumegee nasi kidogo Mkuu
 
Nikujibu kwa kifupi sana
1. Tofauti kiimani ni kwamba Nabii Issa si Mungu na wala si mwana wa Mungu, Mungu hakuzaa wa hakuzaliwa na hana anayefanana naye.

2. Wote ni wajumbe (mitume) wa Mungu
Mkuu viongozi wenu wa dini wanajua hilo.

Naomba nikuulize swali dogo sana nijibu kwa kifupi kama nilivyokujibu wewe

Kama Nabii Adam aliumbwa bila baba wala mama, na kama Bi Hawa (Eva) hakuwa na mama alitoka katika ubavu wa mwanaume, hakuna hata mmoja kati yao aliyeitwa Mungu au mtoto wa Mungu, kwa nini Nabii Issa aliyezaliwa na mwanamke bila baba (hapo nimeeleweka) tena kwa njia ya kawaida mkamwite Mungu?
Jibu kwanza hayo kwenye clip ya muhindi, yeye kasema amesoma msahafu mpaka akumwamini Yesu.
 
Nikujibu kwa kifupi sana
1. Tofauti kiimani ni kwamba Nabii Issa si Mungu na wala si mwana wa Mungu, Mungu hakuzaa wa hakuzaliwa na hana anayefanana naye.

2. Wote ni wajumbe (mitume) wa Mungu
Mkuu viongozi wenu wa dini wanajua hilo.

Naomba nikuulize swali dogo sana nijibu kwa kifupi kama nilivyokujibu wewe

Kama Nabii Adam aliumbwa bila baba wala mama, na kama Bi Hawa (Eva) hakuwa na mama alitoka katika ubavu wa mwanaume, hakuna hata mmoja kati yao aliyeitwa Mungu au mtoto wa Mungu, kwa nini Nabii Issa aliyezaliwa na mwanamke bila baba (hapo nimeeleweka) tena kwa njia ya kawaida mkamwite Mungu?

Kunaswali umelikwepa hapo?

Nimemuuliza Mkomatembo hapo kwamba? Ikiwa Mnaamini kwamba Issa atakuja kwa mara ya pili kuukomboa Ulimwengu (umma) na kwamba ninyi mnakesha kumsubiri yeye.. Je ni vema kumuamini yeye au kuamini mtu ambaye pia anasubiri hukumu kama sisi???

Nikija kwenye swali lako,

Ukisoma kitabu cha mwanzo utaona biblia inasema... Natumuumbe mtu kwa mfano wetu... (Unadhani hapa ni nani na nani walikuwa wakijadiliana hili? kumbuka wewe umesema Mungu hafananishwi na chochote!.) Jibu lako lipo hapo kwanini Adamu na Hawa wasiitwe Mungu.
 
hiv katika hizi dini zote mbili ipi ilio mrecognize mwafrika,nikipata jibu ntaanza mabishano rasmi
 
Back
Top Bottom