Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 12,428
- 23,466
Ukitaka kujua biashara ya mabasi ina ugumu kiasi gani, basi sikiliza simulizi za Summry...
Na Sumry yupo sahihi; biashara nyingi zinaanzishwa na zinakufa, zile za miaka mingi zina changamoto lukuki.