Wanayanga mtamkumbuka Hamisi Kiiza Diego

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Kama kuna ujinga viongoziwa Yanga wanafanya nikutaka kumtema Hamisi Kiiza

Sitoshangaa bali sina mengi zaidiya

Mtamkumbuka Daima
 
Mkuu Yanga kumkumbuka Hamisi Kiiza "diego" sioni shida kwa vile hata leo Yanga bado wanawakumbuka Hamisi Gaga "Gagarino" rip, Lunyamila, Sahau Said Kambi - rip, Abubakar Salum Sr, Nemes, Mbuna, Salum Kabunda "Ninja", Pondamali, Juma Shaban, Method Mogella - rip, Nonda, Ngassa Sr, ni wengi tu mkuu @pdiddy!
 
tuna tatizo kwenye soka/michezo Tanzania. Kwa hiyo hata huo uwezo wa kumkumbuka mchezaji au mdau yeyote ni tatizo pia na ndio maana wangelikuwa na uwezo huo wa kukumbuka wasingelikuwa wanafanya wanayoyafanya!
 
Labda Pdidy
 
Back
Top Bottom