Wanaweza kusimamisha saa lakini sio wakati

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,561
Hii ni faraja kubwa kwetu Makamanda.

CCM wamekomaa kuisimamisha Saa wakidhani watasimamisha Muda na Wakati pia.
Wahenga walisema Wakati Ukuta ukipambana nao utaumia mwenyewe.
CCM wanapambana na Wakati wanapojaribu kupambana na Fikra pinzani hakika wataumia wenyewe, japo wanaweza kusimamisha harakati tena kwa saa kadhaa tu.

Saa huvaliwa mkononi, huwekwa ukutani n.k lakini wakati upo kila mahali.
Saa huaribika au kusimama lakini wakati hausimami wala kuharibika
Vyama vya Upinzani vinaweza kufa lakini Frikra mbadala haifi kamwe.

Wapinzani wanatengeneza Flow Vyombo vya dola vinatumiwa kuweka Restriction bila kujua wanatengeza Pressure itakayo iharibu kabisa CCM hii ndo kanuni ya Sayansi asilia.

Hii ni Faraja kubwa kwetu kuona CCM inajitengezea uharibifu yenyewe.
 
Ccm ndicho chama pekee Afrika chenye ujuzi wa namna na mbinu za WIZI na UFISADI wa mali za wananchi!
 
Hii ni faraja kubwa kwetu Makamanda.

CCM wamekomaa kuisimamisha Saa wakidhani watasimamisha Muda na Wakati pia.
Wahenga walisema Wakati Ukuta ukipambana nao utaumia mwenyewe.
CCM wanapambana na Wakati wanapojaribu kupambana na Fikra pinzani hakika wataumia wenyewe, japo wanaweza kusimamisha harakati tena kwa saa kadhaa tu.

Saa huvaliwa mkononi, huwekwa ukutani n.k lakini wakati upo kila mahali.
Saa huaribika au kusimama lakini wakati hausimami wala kuharibika
Vyama vya Upinzani vinaweza kufa lakini Frikra mbadala haifi kamwe.

Wapinzani wanatengeneza Flow Vyombo vya dola vinatumiwa kuweka Restriction bila kujua wanatengeza Pressure itakayo iharibu kabisa CCM hii ndo kanuni ya Sayansi asilia.

Hii ni Faraja kubwa kwetu kuona CCM inajitengezea uharibifu yenyewe.
safi umechambua kisomi zaidi umetumia nadharia za hydrodynamics kuelezea uhalisia, wenye akili tumekuelewa
 
jamani acheni kutegemea bahati nasibu jikiteni kwenye hoja mhimu zitakazo hamasisha umma uwaunge mkono!!
siasa siyo bahati ni mikakati na maono!!
 
Hii ni faraja kubwa kwetu Makamanda.

CCM wamekomaa kuisimamisha Saa wakidhani watasimamisha Muda na Wakati pia.
Wahenga walisema Wakati Ukuta ukipambana nao utaumia mwenyewe.
CCM wanapambana na Wakati wanapojaribu kupambana na Fikra pinzani hakika wataumia wenyewe, japo wanaweza kusimamisha harakati tena kwa saa kadhaa tu.

Saa huvaliwa mkononi, huwekwa ukutani n.k lakini wakati upo kila mahali.
Saa huaribika au kusimama lakini wakati hausimami wala kuharibika
Vyama vya Upinzani vinaweza kufa lakini Frikra mbadala haifi kamwe.

Wapinzani wanatengeneza Flow Vyombo vya dola vinatumiwa kuweka Restriction bila kujua wanatengeza Pressure itakayo iharibu kabisa CCM hii ndo kanuni ya Sayansi asilia.

Hii ni Faraja kubwa kwetu kuona CCM inajitengezea uharibifu yenyewe.

Maelezo maridhawa hayatoshi kuing'oa CCM nadarakani.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom