Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 568
- 1,562
Hii ni faraja kubwa kwetu Makamanda.
CCM wamekomaa kuisimamisha Saa wakidhani watasimamisha Muda na Wakati pia.
Wahenga walisema Wakati Ukuta ukipambana nao utaumia mwenyewe.
CCM wanapambana na Wakati wanapojaribu kupambana na Fikra pinzani hakika wataumia wenyewe, japo wanaweza kusimamisha harakati tena kwa saa kadhaa tu.
Saa huvaliwa mkononi, huwekwa ukutani n.k lakini wakati upo kila mahali.
Saa huaribika au kusimama lakini wakati hausimami wala kuharibika
Vyama vya Upinzani vinaweza kufa lakini Frikra mbadala haifi kamwe.
Wapinzani wanatengeneza Flow Vyombo vya dola vinatumiwa kuweka Restriction bila kujua wanatengeza Pressure itakayo iharibu kabisa CCM hii ndo kanuni ya Sayansi asilia.
Hii ni Faraja kubwa kwetu kuona CCM inajitengezea uharibifu yenyewe.