Wanaweka kwa kukodoa macho runingani hawajambo!

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
908
604
uploadfromtaptalk1371020446634.jpg
Yeye anajua mtoto anashiba kumbeee!
 
Anaangalia Maria Clara!!!halafu akifika kitandani anakupa mgongo eti kachoka,mbona tamthilia husemi umechoka?
 
Wee mwambie tu 'wuman ovu mai laifu' anakupa kila kitu

Si ndio yanayofundishwa na Maria Clara

Anaangalia Maria Clara!!!halafu akifika kitandani anakupa mgongo eti kachoka,mbona tamthilia husemi umechoka?
 
Nafikiri ungesema baadhi ya wanawake hasa washindao nyumbani kwa kukodoa macho runingani....

Maana mimi wangu hata ukimuuliza ratiba ya vipindi vya runingani hajui, yeye anajua ratiba za mimi na yeye na furaha zetu,watoto na kuangalia nyumba inakwendaje kabla na baada ya kurudi nyumbani. Hata kama tukiwa sebuleni anachojua kuangalia ni News Bulletin tu, mambo ya burudani kama hayo yamempitia kushoto wakati yeye yu magharibi kabisa.
 
kwa wenye mda wa kufanya hayo kwa kweli, wengine unakuwa busy mana ukiamka tu ile asubuhi una vya kuandaa kwa ajili ya baba na watoto km upo Dar unawaza na foleni utaikabili vipi uwahi kazini, jioni sasa ndo balaa ukitoka tena kwa tunaochelewa foleni ntu inakuchosha, ukifika baba na watoto bado wanakuhitaji utoe huduma za mama na mke, ukimaliza hapo upo hoiii kweli hata hamu ya tv inakuwa imeisha... zaidi ya taarifa ya habari wanawake wengi wanaofanya kazi hawana muda mwingi wa kutizama tv labda weekend.
 
Back
Top Bottom