Wanawake wote ni Mawifi, wote ni Mama Wakwe

Jul 13, 2011
48
14
Kuna Hii Hali imezoeleka sana kwamba Chanzo kikubwa cha Matatizo katika ndoa Nyingi ni Mawifi, Mama Wakwe. Sijawahi kusikia Mashemeji wakilalamikiwa au Baba wakwe wakilalamikiwa.

Wanaolalamika wengi ni Wake ambao nao ni Mawifi ( kwa maana kaka zao nao wameoa).

Tatizo ni nini hasa ninti Wanawake? Unalolalamika kwamba Mama Mkwe sijui kafanya ni je unasahau kwamba Hata wewe ni Mama Mkwe? Unapolalamika kwamba Wifi ana Gubu hujui kwamba hata Mke wa kaka yako analamika Wifi yake ( Ambaye ni wewe) ana Gubu! Kwa nini Hampendani hivyo Jamani akina Wifi na Mama Wakwe?
 
Hii ni kweli kbs, wakati twalalamikia dada wa waume zetu kutuguatilia, at the same time tunalalamika pale ambapo kaka zetu wanapowanunulia marange rover wake zao! Mara nyingi mama mkwe anapata malalamiko toka kwa binti zao juu ya mkamwana (mke wa mwanawe)!

Ndio maana mimi sikai kwa kaka yangu more than 2 days niendapo kumtembelea! Sipendi kujua wanaishije.

Nami sitaki kabisa kukaa na wifi; Kama ni msaada tutuma huko aliko!
 
Logical Thinking, but in real life does it make any sense?
 
sio wanawake wote wpo hivi jaman lakn adui wa mwanamke sio mwanaume alwayz ni mwanamke mwenzake
 
Hii ni kweli kbs, wakati twalalamikia dada wa waume zetu kutuguatilia, at the same time tunalalamika pale ambapo kaka zetu wanapowanunulia marange rover wake zao! Mara nyingi mama mkwe anapata malalamiko toka kwa binti zao juu ya mkamwana (mke wa mwanawe)!

Ndio maana mimi sikai kwa kaka yangu more than 2 days niendapo kumtembelea! Sipendi kujua wanaishije.

Nami sitaki kabisa kukaa na wifi; Kama ni msaada tutuma huko aliko!

Kaunga Umeolewa? Kama umeolewa wewe unajichukuliaje? Unajiona kama Mke wa Mme wako au Wifi wa Mke wa Kaka yako? Unapojiweka katika hizo position Mbili Maisha au Matendo huwa yanabadilika au?
 
bwana aliseeeeema peeeendaneni peeeendaneni kama mmi nilivowapeeeeeeeenda nanyia pia naaanyia piia mpendaneeee
 
Si wanakuwa wamezoe msaada kutoka kwa kaka sasa akioa msaada zaidi kwa mke wake kwa hivyo wanona mke wa kaka yao ndo anawabania.Chuki inaanza hapo hapo.Mara oohhh kampa kaka limb..ta mara oookh kakaliwa kichwani n.k.Hajui kama na wewe sasa unamajukumu ya familia yako.
 
yaani mie kwetu ni balaaaa.. natamani hata niame nyumba.. cha ajabu mimi jamaa zao(WANAUME WA DADA ZANGU).. nawakubali na sina shida nao.. sjui wana nini "WAKE"????????????????
 
Back
Top Bottom