Dr. Love Pimbi
Member
- Jul 13, 2011
- 48
- 14
Kuna Hii Hali imezoeleka sana kwamba Chanzo kikubwa cha Matatizo katika ndoa Nyingi ni Mawifi, Mama Wakwe. Sijawahi kusikia Mashemeji wakilalamikiwa au Baba wakwe wakilalamikiwa.
Wanaolalamika wengi ni Wake ambao nao ni Mawifi ( kwa maana kaka zao nao wameoa).
Tatizo ni nini hasa ninti Wanawake? Unalolalamika kwamba Mama Mkwe sijui kafanya ni je unasahau kwamba Hata wewe ni Mama Mkwe? Unapolalamika kwamba Wifi ana Gubu hujui kwamba hata Mke wa kaka yako analamika Wifi yake ( Ambaye ni wewe) ana Gubu! Kwa nini Hampendani hivyo Jamani akina Wifi na Mama Wakwe?