Wanawake wote ndivyo mlivyo hata mkikataa. Wanaume kuweni makini katika maamuzi yenu

Kamwe , abadani mtoto wangu hawezi lelewa mbali na mm kisa mke nita funga ha CCTV camera nikagundua mtoto kafanyiwa ubaya na mama kambio shughuli yake ni zaidi ya gereza la giterama Rwanda
Mkuu hasira zikizidi unaweza jikuta wewe upo giterema Rwanda...
 
Unamwogopa mwanamke unayeishi naye ndani, unamwamini mwanamme mwingine aliyemuoa huyo ex akulelee mwanao nawe unakenua kwa amani kabisa.... huwezi kuwa sawa kichwani kuna namna dishi limecheza tu.
Umesom ujumbe adi mwisho ukauelwa kwel..!!
Ameshauri bora abaki kwa mama ake ila awe anapeleka matumizi kitu ambacho kinawezekan......
 
Umesom ujumbe adi mwisho ukauelwa kwel..!!
Ameshauri bora abaki kwa mama ake ila awe anapeleka matumizi kitu ambacho kinawezekan......

Huko kwa mama’ke si ndo kuna mume mwenza!!

Ndo amlelee?

Kupeleka matumizi haiwezekani ikiwa mama wa mtoto kaolewa, kuna wivu na ugomvi usioelezeka.

Bado nashikilia shilingi!
 
Back
Top Bottom