Mkuu hasira zikizidi unaweza jikuta wewe upo giterema Rwanda...Kamwe , abadani mtoto wangu hawezi lelewa mbali na mm kisa mke nita funga ha CCTV camera nikagundua mtoto kafanyiwa ubaya na mama kambio shughuli yake ni zaidi ya gereza la giterama Rwanda
FACThouse girl anashinda na mtoto kuanzia asubuhi mpaka saa nne usiku mama ake anaporudi kazini,inafika point housegirl anamjua mtoto kuliko hata wazazi, ukweli unabaki housegirls ndiyo walezi wa watoto katika familia nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesom ujumbe adi mwisho ukauelwa kwel..!!Unamwogopa mwanamke unayeishi naye ndani, unamwamini mwanamme mwingine aliyemuoa huyo ex akulelee mwanao nawe unakenua kwa amani kabisa.... huwezi kuwa sawa kichwani kuna namna dishi limecheza tu.
Umesom ujumbe adi mwisho ukauelwa kwel..!!
Ameshauri bora abaki kwa mama ake ila awe anapeleka matumizi kitu ambacho kinawezekan......
Boarding likizo atakua anaenda kwa mjomba au kwa bibi kipindi chote hicho mkuu?
Mkuu hasira zikizidi unaweza jikuta wewe upo giterema Rwanda...