Wanawake weupe vs Wanawake weusi

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,020
Kama kichwa cha habari hapo juu unavokisoma, kati ya "Wanawake weupe vs wanawake weusi"

Je, ni wanawake gani wazuri? Au wanavutia kimapenzi? Binafsi madem weupe wananivutia sana hii colour nipo nayo addicted sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama kichwa cha habr hapo juu unavokisoma, kati ya "Wanawake weupe vs wanawake weusi" Je! Ni wanawake gan wazuri? Au wanavutia kimapenzi?? Binafsi madem weupe wananivutia sana hii colour nipo nayo addicted sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ni mshamba inaonekana unatoka kanda ya ziwa, wanawake hawapimwi kwakutumia ragi ya ngozi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakin hata rangi ina umuhim wake kwenye stimulation
Kwangu kikubwa ni kifurushi chake tu alichojaliwa, sina nia mbaya mkuu kikubwa mwanangu nataka aje kuwa na akili kama tafiti za chuo kikuu cha oxford kinavyosema
 

Attachments

  • IMG_20190209_122417_348.JPG
    IMG_20190209_122417_348.JPG
    44.7 KB · Views: 59
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom