Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Hahaha...nimejariwa/barikiwa kuwa na vyote kapeace.

Nguvu za kiume ninazo mpaka huwa natafuta dawa ya kuzipunguza

Hela ninazo japo hazitoshi sababu bado nazitafuta

Ni wewe tu kuwa na utayari mkuu
Ukiwa na hela ......hiyo ishu lazima ikushinde tu

Ukiwa na nguvu za kiume.....hela huwezi kuwa nayo

Na haya mambo yanategemeana ...hela tu bila nguvu ....kugongewa ni lazima
Nguvu bila hela ...kugongewa ni lazima

Sent using Jamii Forums mobile app

"Enough of No Love"
 
Labda wewe unasemea kwa watoto wa mama au wazee my dear kuna wenye vyote ana pesa na bed anakaza kisawasawa... Mpaka unaweza kimbia 😁
 
Samahani mtoa mada ni kwanini hao wenye shape ya namba moja huwa kamjamaa kamenyweaaa, kwani ukipiga tizi kamjamaa kanapotea?
Haha haha wakikusikia hao jamaa mi najua ukipiga sana tizi nyama zinapanda juu chini unakua kama 9 afu kwenye game hao jamaa hawana pumzi ndefu hawachelewi kutepeta

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Haha haha wakikusikia hao jamaa mi najua ukipiga sana tizi nyama zinapanda juu chini unakua kama 9 afu kwenye game hao jamaa hawana pumzi ndefu hawachelewi kutepeta

muhogo,nazi,karanga tende,asali

Kwahiyo bora mr kitambi wangu.
 
Kwahiyo bora mr kitambi wangu.
Kitambi noma zaidi nawao hua wana viboo vidogo Bora slim au mwenye mwili wastani kama mimi asiwe mbavu au kitambi bonge nyanya siku ukikutana na hao nliokutajia utakunwa mpaka utaona jamaa ako anakupapasaga tu

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Pesa pesa pesa

Hamna mwanamke asiyependa uhakika wa maisha yake na wanae

Tunatofautiana kuyavumilia mapito magumu kiuchumi

Lakini tangu zamani ilikuwa binti akipata mchumba itaangaliwa familia ya mchumba wake uwezo wake kiuchumi kama idadi ya mifugo, mashamba nk

Utaulizwa mumeo mtarajiwa anafanya shughuli gani

Sijishughulishi kabisa na muonekano wa mwanaume

Mwanaume awe na uchumi mzuri + nguvu za kiume......dunia kwake ni pepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nice, umefunguka vizuri.

Kwa niaba ya chama cha wanaume tutalifanyia kazi. Ujumbe wako tutaufikisha kwenye kamati kuu na kujadiliwa kwa mapana zaidi.

Thank you for sharing your experience.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitambi noma zaidi nawao hua wana viboo vidogo Bora slim au mwenye mwili wastani kama mimi asiwe mbavu au kitambi bonge nyanya siku ukikutana na hao nliokutajia utakunwa mpaka utaona jamaa ako anakupapasaga tu

muhogo,nazi,karanga tende,asali
Wewe umejuaje maumbile ya wanaume wenzio? Au mwenzetu wewe
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom