Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Pesa pesa pesa

Hamna mwanamke asiyependa uhakika wa maisha yake na wanae

Tunatofautiana kuyavumilia mapito magumu kiuchumi

Lakini tangu zamani ilikuwa binti akipata mchumba itaangaliwa familia ya mchumba wake uwezo wake kiuchumi kama idadi ya mifugo, mashamba nk

Utaulizwa mumeo mtarajiwa anafanya shughuli gani

Sijishughulishi kabisa na muonekano wa mwanaume

Mwanaume awe na uchumi mzuri + nguvu za kiume......dunia kwake ni pepo
Hapo kwenye uwezo mzuri kiuchumi, umedanganya kapeace

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli mimi napenda mwanaume mwenye uchumi strong tuu na mwenye akili timamu akiwa na hivyo vigezo nilivyovitaja tayar ni handsome hata awe mfupi kama piriton
Mkuu mbona wanawake wenye pesa na uchumi hawaangali hiyo kitu wana angalia handsome mwenye kiuno kama pangaboi tu kumbe wanawake tegemezi ndio wanaongoza kwa mapenzi ya uwongo

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Mkuu mbona wanawake wenye pesa na uchumi hawaangali hiyo kitu wana angalia handsome mwenye kiuno kama pangaboi tu kumbe wanawake tegemezi ndio wanaongoza kwa mapenzi ya uwongo

muhogo,nazi,karanga tende,asali
Wanawake wenye pesa huangalia hivyo vigezo wakati wa kutafuta wanaume wa kuwatumia kibenteni wa kumfikisha kwenye haja zake lkn kwa muda tuu haja zikiisha na mapenzi huisha ndio maana wanaume wanaotegemea majimama asilimia kubwa huwa hawatoki kimaisha ng'o jimama hawezi kukupa pesa ya kukutoa kimaisha jimama hata mkiachana huna haki ya kudai hata sent tano unaondoka kama ulivyokuja hata akifa hupewi hata mia unaondoka na boxer zako tuu wanawake wooooote duniani wanapenda hela huwezi kushindana na kigogo ukamshinda sababu wewe una kifua kipana 😁😁😁 nimeshuhudia wenye vifua kibao wakibebewa wachumba zao na watu wenye hela. hela inaleta mpaka confidence jamani hela ndio heshima kwenye jamii tufanye kazi tupate hela haya mengine ya vifua tuwaachie wana mieleka na watunisha misuli maana wao ni sehemu yao ya kupata pesa mimi matumizi ya kifua siyajui kabisa ila matumizi ya pesa hata watoto wadogo wanayajua 😁😁😁 anajua kabisa bila pesa sipewi pipi dukani hata watoto humpenda yule uncle anayewapa hela sembuse mtu mzima 😁😁😁😁😁 wanawake wooooote wanapenda kuonekana wana wanaume wa maana yani wenye influence kwenye jamii wanaume wa maana wenye uwezo kiuchumi wenye power na confidence bila pesa hizo sifa huwezi kuwa nazo unaonekana debe tupu 🤣 hakuna mwanamke anayependa kuonekana na mwanaume ndezi au aonekane yeye ndio anayeprovide kwenye uhusiano hapana
 
Wanawake wenye pesa huangalia hivyo vigezo wakati wa kutafuta wanaume wa kuwatumia kibenteni wa kumfikisha kwenye haja zake lkn kwa muda tuu haja zikiisha na mapenzi huisha ndio maana wanaume wanaotegemea majimama silimia kubwa huwa hawatoki kimaisha ng'o jimama hata mkiachana huna haki ya kudai hata sent tano unaondoka kama ulivyokuja hata akifa hupewi hata mia unaondoka na boxer zako tuu wanawake wooooote duniani wanapenda hela huwezi kushindana na kigogo ukamshinda sababu wewe una kifua kipana nimeshuhudia wenye vifua kibao wakibebewa wachumba zao na watu wenye hela hela inaleta mpaka confidence jamani hela ndio heshima kwenye jamii tufanye kazi tupate hela haya mengine ya vifua tuwaachie wana mieleka na watunisha misuli maana wao ni sehemu yao ya kupata pesa mimi matumizi ya kifua siyajui kabisa ila matumizi ya pesa hana watoto wadogo wanayajua anajua kabisa bila pesa sipewi pipi dukani hata watoto humpenda yule uncle anayewapa hela ya mimi sembuse mtu mzima
Kwa maana hiyo anko anaweza kupewa papa

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Pesa pesa pesa

Hamna mwanamke asiyependa uhakika wa maisha yake na wanae

Tunatofautiana kuyavumilia mapito magumu kiuchumi

Lakini tangu zamani ilikuwa binti akipata mchumba itaangaliwa familia ya mchumba wake uwezo wake kiuchumi kama idadi ya mifugo, mashamba nk

Utaulizwa mumeo mtarajiwa anafanya shughuli gani

Sijishughulishi kabisa na muonekano wa mwanaume

Mwanaume awe na uchumi mzuri + nguvu za kiume......dunia kwake ni pepo

Sent using Jamii Forums mobile app

Utakuwa umempendea hela huyo mwanaume kapeace
 
Umeambiwa utaje vigezo vingine tofauti na pesa, wewe unataja pesa.

Kwa akili ya aina hii, wanaume wenye pesa utaishia kuwasikia tu!

- KANA -
Tunamaanisha huwa hatuangalii vitu vingine zaidi ya uchumi hakipo kingine mkuu yani ni pesa , pesa , pesa mpaka mwisho vifua kwa teenagers kabla sijakua na kabla sijaolewa nakumbuka nilikua napenda mwanaume mweusi mrefu mwenye meno meupe na macho meusi lol lkn nilikuja kuolewa tofauti kabisa na vigezo vya muonekano tofauti nikisema nirejee hivyo vigezo vya muonekano nilifeli pamoja na hayo nikakituliza kabisa😁 so nikaelewa kuwa pesa ni kitu kingine mkuu wee acha tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom