Wanawake wenzangu msiwe too conservative kimapenzi

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Usimmwogope mumeo,
Chezea mwili wake,mtreat Kama mwanaume pekee duniani hakuna anaefanana nae,mmwulize wapi hujamfikisha .kuwa Malaya wake,porno wake .Hatokaa atoke nje wanaume wako visual ,mchezee Mumeo,mmwimbie( sio nyimbo Za mafumbo).usiuogope mwili pia viuno kila siku vinachosha
 
Daaah mtoto ya New york,Muke ya Muzungu! Naona umetoa ushauri mzuri inaelekea mzungu wako anafurahi sana! Ila wanawake wahuku kwetu mbagala rangi tatu na chanika wanayajua hayo yote na wanatoa huduma nzuri sana!
 
Ushawahi kumfumua nywele mpenzi wako?
 
Muke ya muthungu bana wa huku ni orijino kama ile ya kutokea mtwara
 
Mi nafanyaga if THERE IS SOMETHING TO BENEFIT!!!!!!! Maybe kuna ombi langu limekwama nataka kulikwamua?

Kiukweli hawa wanaume wana tabia ya KUZOEA vitu unavyomfanyia. Sasa ukikurupuka mjini hapa, mwanaume game 3 tu ushaweka karata zote juu ya meza! ALAS!!!!!!! Haitakiwiii! Mimi maujuzi nayatoa kwa MKONO WA BIRIKA!!!!!!!! Silaha zile nzito nzito sizitumiii katuuu hadi ibidi sanaaaaa! Ikitokea special event kama Kunipa Gari Game yake lazima iwe Tofauti, vry unique, Viwango vya juu zaidi kuendana na tukio la Kushukuru hili gari.

Siku nina ombi dumeee nataka nipatiwe kiurahisi, nabadilisha silaha natumia Ak 47 tofauti kabisaa na 9mm aliyuizoeaaa! Hivo nakuwa mpya kila siku!!!!!!! JST KEEPING IT REAL!!!!!!!

Sasa nyie mchezo haujanza karata zote mmeweka mezani, ukifungwa huo mchezo utamlaumu mtu? Aibu yako mwenyewe!
 
kuhusu hao wanaume jamani huwa hawatabiriki.anaweza akamkandia mwanamke mnene kumbe ndio mapenzi yake.na yeye anaponea hapo hapo kwa wanene.unaweza ukajitutumua weeee,kwake ikawa not enough.raha ya 6 kwa 6 mu enjoy wote,sio uhangaike wewe,yeye awe yupo tu anasubiri kila kitu ufanye wewe.akikupandisha mshushe,akikushusha mpandishe
 
Wakutoka atatoka tu hata umpe nini,the best thing fanya kwa level yako na kumuombea,mwanaume si m2 wa kugv it all only what you can at your leisure,
 
Duu point zilizomiminwa hapa leo,ni za kutoka kwenye kilindi cha moyo,hamna unafiki hata chembe.
Experience s the best teacher.
 
Usimmwogope mumeo,
Chezea mwili wake,mtreat Kama mwanaume pekee duniani hakuna anaefanana nae,mmwulize wapi hujamfikisha .kuwa Malaya wake,porno wake .Hatokaa atoke nje wanaume wako visual ,mchezee Mumeo,mmwimbie( sio nyimbo Za mafumbo).usiuogope mwili pia viuno kila siku vinachosha

Mume/mke mwema hutoka kwa Mungu. Wewe fanya mbwembwe zako zote, nyonya koni, toa hadi 0714 ila kama hajatoka kwa Mungu ujue ni chenga tuuuu.
 
Nimemzoea mume wangu mpenzi namheshimu simuogopi tunacheza sana ametoka kunifumua nywele mda si mrefu mwanaume wangu ni mume mpenzi rafiki ukweli ni kila kitu kwangu sitaki kumpoteza sitapata mwingine anayefanana na yeye ni ngumu sana jamani tujenge urafiki na waume zetu ni raha sana
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom