Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,694
- 2,294
Mtu wa TRA Yuko mkoa wa pwani wilaya ya kisiwaniNjaa tu. Huna uweo wa kutunza watoto. Huna la kuwafundisha. Unataka ubaki nao ili uwe unakula hela zangu. Kama watoto watakaa kwako jua ya kwamba utalea, kama watakaa kwangu basi ntalea. Juzi tu kuna rafiki yangu katoka kushinda kesi kama hii now yupo na mwanae na bidada hajaambulia hata senti na uzuri hata mgawanyo wa mali kulikuwa hakuna katoka kama alivyokuja
Makazi yake kawe ukwamani
Nimepatia?