Wanawake wenye sura nzuri na vioja vyao kwa wanaume

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
salam sana.nilijaribu kufanya ka uchunguzi nikagungua wanawake wengi wenye sura za kuvutia wapo katika hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa ikiwamo UKIMWI.Pia wengi wao hawajui mapenzi na ua hawana mapenzi ya dhati.AAsilimia kubwa pia hawajaolewa na wana hawana uhakika wa kuolewa. Na wengo wao walioolewa waume zao wanatoka nje ya ndoa na baadhi yao pia hawajibiidishi kimaisha na hata wakijidiidisha mapato ni kwa ajili ya matumizi yao binafsi. Kwa wale wachache mmnaojitunza msije danyanjika tena hata kwa punje ya mtma. kama nimekugusa niwieradhi
 
ww mkeo/gf anasura mbaya?
 
sasa its hard kwan wenye nazo hawakuziomba ..please am sorry i cant contribute in your topic
 
hahahahahaha
hii ni total fallacy...wapo wanawake sio wazuri na bado kupitiwa mbavuni wanapitiwa na pia wapo na mashaka kuhusu kuolewa.
kipe kitu roho inapenda bwana....luk for both beauty and character..its as simple as that!!!!
 
kweli JF ni aidi ya uijuavyo

Sijui members wengine wanaishi wapi aisee.... maana hii mie kwangu ni viroja vya karne
 
Mkuu unachosema naona kina ukweli sana, angalia hata baadhi ya mamiss wa TZ na maisha yao ya kimapenzi ya kila siku, utashangaaa! Leo yuko na Kan ..., kesho Dia ... kesho kutwa yupo na JN, ki ukweli inasikitisha!

Binafsi huwa nachukulia kuwa msanii ni kioo cha jamii hivyo anatakiwa kujiheshimu na kuyaheshimu maisha yake. Pia wakumbuke kuwa wengi wao ni mabalozi wa Makampuni au mashirika fulani, ni vyema wazipeperushe bendera za mashirika yao vyema kwa kujiheshimu.
 
tafiti hiyo umeifanyia kazi kwa sura nzuri kama ipi?ya feisbuku,preta,chauro au lizzy?na zawanaume kama the boss je?lol
 
pole sana,. usiogope.. ukweli ni kwamba. wanaume ndiyo chanzo na sababu inayowafanya hawa warembo wachanganyikiwe.
kama wanaume wangepata ujasiri wa kuwapotezea wala wasingekua na shida.. hebu jaribu kuchunguza zaidi. utagundua ambavyo
wanaume wengi wamepanga foleni kwa mlimbwende mmoja.. kila mmoja anataka kitu kizuri...
pia usijali sana yafaa pia tuwakumbushe kuwa wao hawakuamua kuwa na sura hizo ila kwa makusudi maalum MUNGU amewapa uzuri.
 
Kwani UKIMWI unachagua sura. Kwa taarifa yako wanawake wabaya wanaongozwa kwa kutongozwa.
 
Back
Top Bottom