Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

Wale wanajileta gheto wenyewe. Wapate teuzi za viti maalum
Naam, Wapewe zaidi na zaidi.
Wapewe bando la kila mwezi kwa mwaka mzima.
Wapewe nauli la kila mwezi kwa mwaka mzima.
Wapewe ofa ya kutolewa out 1 kila mwezi kwa mwaka mzima.

Wambembelezwe kama watoto, wadekezwe, waogeshwe, na mahitaji mengine ya kideko deko wanayoyahitaji wapewe.

Tuwaombe msamaha kila tunapowaudhi.

Na tuwaite kwa majina mazuri ambayo hata hawajawahi kuitwa.
 
Back
Top Bottom