Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

Bebe ambazo zinafika geto kwa nauli yake,ipewe nauli ya ubber kwa kurudi.

Bebe ambazo zikisleep over zikiamka zinasema beby huna nguo chafu nkufulie.

Bebe ambazo zina uliza utakula kwanza au ule ndo utakula,hizi zifutiwe tozo jamani.

Bebe ambazo ukiiudhi ina kublock kisha inaku unblock jioni yake,ipewe tu macho matatu.
 
Waitwe ikulu wapate chakula pamoja na rais
 
Back
Top Bottom