Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,935
2,000
Kweli kabisa mkuu, hapo ulipo agiza kinywaji nakuja kulipia bili. Kuna kipindi dada mmoja alikuwa rafiki yangu sana, ameolewa. Sasa kuna kipindi akamfumania mume wake amezaa nje ya ndoa. Paliwaka moto akapanic sana mara.

Ndoa yao iliyumba sana, hadi akawa ananishirikisha kila kitu anachofanya au kuongea na mumewe, pamoja na vikao vya ndugu vya usuluhishi. Ukaribu wangu mimi na yeye uifika hatua akawa ananihitaji nimuliwaze na kumpa ushauri how to go around that case. Ila mimi sikutaka kushauri.

Nilimwambia muyamalize wenyewe anipe hitimisho. Kuna wakati alikuwa tayari kwa loote na alinisihi sana niwe mpenzi wake ila tufanye siri. Katika kuchat naye alikuwa ananitumia hadi picha zake za uchi angle zote. Nakumbuka kipindi hicho mume wake alikuwa mkoa mwingine kikazi. Sijui kwanini, ila roho yangu iligoma kabisa kusex na yule dada nikawa napiga kalenda tuu, ila tulikuwa tunafanya sex chat whatsaap usiku hadi anajikojoza.

Baada ya muda kupita waliyamaliza mambo yao na mume wake nikaona penzi lao limeshamiri upya. Akawa anampost sana kwenye status. Aisee siku hizi hata nikigusia hizo story anaweza kunitukana kabisa. sema kuna ibilisi ananisumbua hadi leo sijazifuta zile picha zake na hivi karibuni nilimtumia nikamwambia aje azichukue. alinishushia mvua ya matusi sijapata ona.
So picha badogo uko nazo kupigia nyeto huku una recall zile sex chats za WhatsApp
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
4,312
2,000
Kuzungushana mda mrefu huwa inakera, bora uzungushe lakini unaonyesha nia.
Ukiringa nabeba kikali zaidi yako
Hata ukibeba kinacho karibiana na Malaika lkn roho yako ipo palepale pa jana ulipopataka mwanzo! na hata hicho kizuri,ni Machoni pako!! ni siraha binafsi ya kumuumiza muhusika alie ku dump! wanajuaga hilo! Siyo kwa mkataliwa!

tena usithubutu ufanye hivo !! halafu aka ku dumbp bidaye! au asizae! heee!! weee!
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
4,312
2,000
Inaonyesha unaishi katika jamii isiyostaarabika.
. Jamii isiyostaarabika haiaminiani na huwa haijali hisia za wengine.
Huwaza ngono tu
Hapana! nakataa!! ngono ni sehemu ya Maisha kabisa!! haina mjadala! km huamini watafute wagumba wakusimulie tu!!!!

Ngono bana ni maisha
ngono ni amani,
ngono ni furaha! ngono ni kila kitu!
unatafuta hela ajili ya ngono!
ungonoke weee! upate watoto! wakutunze, ili ufe vizuri! kizazi chako kiwepo milele! uchangie idadi km wenzako bila ngono hkn Maisha! .......Tanzania haipo bila hii kitu tamu! si mlifundishwa ili Taifa Liendelee lina hitaji watu???

tena hili neno ''watu'' ndo la kwanza katika list ile tuliyofundishwaga shule tena ya msingi basi!! au hukusoma hii mkuu!!!....asa jamani jiulizeni utapateje watu bila ngono? Jiwe wenu kaongezea fyatueni tu ntasomesha bure! alisoma yule alijua anachokisema ni ngono!

hukumuelewa wewe bila shaka!! ulitaka akwambie piganeni miti! hakuna asiye ngonoka wewe!!! hata mchungaji anae ongea na mungu! anafanya hii kitu! Musa aliongea na Mungu live lkn alionana na Miliam faragha wakamzaa Manase!

kama limekufa wazo ya ngono muzee! akilini! muzee nakuonea huruma tu! acha watu wajilie! wajirushe waburudike na chini! .... ile kitu ni tamu bana asikwambie mutu! Mungu alijua kuitengeneza na haikifu! ebu mpe hongera kidogo! kwa kutupendelea!!

umenifanya nimkumbuke ka Maria kangu Mweee! roho inapwita pwiiii!! pwiiii! pwiii! haf niko mbali weee jamaa!

hivi mkuu unajua yaliyo mkuta Mke wa Potifa? heee!! any way!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom