Wanawake wenye dread wana stress zaidi kuliko wasio na dread

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,795
Hali hii inasababishwa na kujichukia wao wenyewe. Muonekano wa kuwa na nywele za aina moja kila siku unawafanya wajikinai ki saikolojia na hivyo kujikuta wakitawaliwa na msongo wa mawazo, kutojiamini, hofu chuki, kisirani na visasi.
Hayo ni maoni yangu kutokana na utafiti nilio ufanya
 
mabwaku...
 
i can agree with you at some point Mtumishi, kuna mtu nimewahi fanya naye kazi it was mh!! imposing stress hadi za nyumbani kwa staff mets!! kaaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom