avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 7,322
- 12,731
Tatizo wanafananisha ndoa na elimu. Kwanza kabla ya kuolewa hutamani kuolewa na watu wa matawi yajuu. Mwishowe hawaolewi wanakuja kushtuka umri umesonga inabidi waangukie kwa yeyote au kulazimisha ndoa hata kusaidia fedha za mahari au kuoa kabisa .sasa wanaanza kudai haki na kuleta uanaharakati kwenye mahusiano ukumpiga kidogo ili kudumisha mahusiano kashakupeleka kwenye sheria au Ngo za haki za wanawake