Wanawake wenye ajira hizi wanapata shida kwenye Soko la Ndoa. Wanaume huwakwepa

Haaaah wee kula vya wenzio unapenda, ila vyako hutak viliwe? Kikwete alisema "ukitaka kula sharti na wee uliwe" hujui hilo?
Dah, hata sili vya watu mie...nakula stolowei tu ila sio mali ya mtu 🤣🤣🤣 yani kama we ukinibarikia roho safi tu! Tunamenya!!! ila naheshimu kiapo kile,
 
Afu sio vizuri kusaliti ndoa yako, siku ikija julikana ndo utajua km kachumbali n mboga au kiungo cha wali,
Hahaha sijaoa bado japo kusaliti uchumba tu siwezi 😂😂😂,,,hahah sa itajulikanaje labda kama we utataka ijulikane.
 
Hahaha sijaoa bado japo kusaliti uchumba tu siwezi ,,,hahah sa itajulikanaje labda kama we utataka ijulikane.
Ooooh hapo sasa umenena jambo, kua mwaminifu kwa mwenzi wako, ili apate ile thaman yako uliowanyima wengine, na uka mtunuku yeye.
Mahusiano bora ni chachu ya ndoa njema. Enjoy n relaaaax mema ya uumbaji wa mola.
 
Uhakika sana mkuu
 
Back
Top Bottom