Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,356
- 11,502
Kumekuwa na malalamiko sana kutoka kwa Makundi haya ya Wanawake kuhusiana na mtizamo wa Wanaume wengi juu ya Kazi zao.
1. Wanasiasa
2. Manesi
3. Masekretari
4. Askari/ Wanajeshi
5. Wanasheria
6. Wafanya biashara wanaosafiri safiri
7. Air hostess
8. Wasanii
Wanaume wengi wamekuwa wakiogopa kuoa wanawake wanaofanya kazi za namna hiyo kwa sababu mbalimbali moja wapo ikiwa ni kuwa wengi wao Wanaangukia kwenye jaribu la kukosa uaminifu katika ndoa.
Kwa sababu ya aina ya kazi zao mara nyingine huwafanya wawe zamu usiku,kusafiri safiri,kuwa karibu sana na wanaume nature ya kazi zao kutegemea favour fulani katika kupanda ngazi au mshahara.
Je kuna ukweli wowote?