Wanawake wenye ajira hizi wanapata shida kwenye Soko la Ndoa. Wanaume huwakwepa

avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
4,852
2,000
Tatizo wanafananisha ndoa na elimu. Kwanza kabla ya kuolewa hutamani kuolewa na watu wa matawi yajuu. Mwishowe hawaolewi wanakuja kushtuka umri umesonga inabidi waangukie kwa yeyote au kulazimisha ndoa hata kusaidia fedha za mahari au kuoa kabisa .sasa wanaanza kudai haki na kuleta uanaharakati kwenye mahusiano ukumpiga kidogo ili kudumisha mahusiano kashakupeleka kwenye sheria au Ngo za haki za wanawake
 
Nov 10, 2015
16
125
Hakuna kitu kibaya kama unania ya kuoa halafu uanze kufukua makaburi hauoi kabisaa, sasa kama mpaka mwanajeshi ambaye ananilinda mimi na watoto naye watanilia si bora kuoa mfanyakazi wa mochwari tu
 

Humorous Junior

JF-Expert Member
Jul 19, 2018
1,511
2,000
KUNA UKWELI NDANI YAKE KWA SABABU NIPO MAHALI AMBAPO NAONA ASKARI WENGI WAKIKE WAKIWA SINGLE MOTHER NA WENGINE WANABADILISHWA KAMA JEZI ZA MPIRA WA MIGUU (MAANA NIKISEMA GARI NI KITU CHA GHARAMA SANA), R.I.P RAFIKI YANGU ALIKUWA NA MCHEPUKO FFU, HUYU MCHEPUKO KUMBE FOR NOW ANALIWA NA WASHKAJI TU HAPA WALIMU SEKONDARI JIRANI NA ANAPOISHI. KWA APPEARANCE ANAMTAMANISHA KILA MWANUME KUMTAKA BUT NDIYO HIVYO TENA ANAMEGWA TU BILA FORMULA
 

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
70,634
2,000
Kinachohofiwa hapo ni kwamba kazi zao ni za kujichanganya sana na raia na ni muda wowote bila kuwekewa mipaka...
Cc: mahondaw
 

vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
4,409
2,000
Aisee kuna Air hostess mmoja alikua flight ya Dar to Mwanza, mdogo mdogo slim and mzuri.. Ningekuwa mme wake siwezi mbana maana kizuri ni kula na wenzio.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom