wanawake wenye adabu na hekima

Naona watu mmeamua ............
Siku hizi adabu si kama zamani miaka yetu ya 60 na sabini..
watoto wanazaliwa na kukulia makuzi yenye hekima na busara .
Sasa mambo ya utandawazi ,watoto wamechanganyikiwa na maisha
Mambo yamekuwa sivyo ndivyo.
Ni bahati yako na mungu atakavyokusimamia
 
i think it begins na malezi aliowekwa au mahali alipokulia pia inachangia na mfumo wa maisha alio ishi,,,,lakini nadhani pia si wote wanaotegemea vigezo hivi,,,inshallah umpate kusikilizana na kuheshimiana mkiwa wawili ndio muhimu abuy tafuta tu usichoke inshallah utampata,,,
 
Naona watu wameweka utani mbele sana kuliko busara kwenye hili swala....acheni utani kwa maoni yangu ni watu wa Iringa acha mchezo.....WAHEHE,WABENA mi nawakubali kwannza wanajua kupenda pia ni wavumilivu mno kwenye ndoa..
 
Wanavumilia yapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom