Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,211
- 113,520
Hawa wanapatikana kwenye kabila gani?
Wasukuma
Wakurya
Wajita[/QUOTE]
Hapo sikubishii kabisaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
hakuna wenye sifa ya adabu sili hizi labda mie peke yangu.Hawa wanapatikana kwenye kabila gani?
hakuna wenye sifa ya adabu sili hizi labda mie peke yangu.
hakuna wenye sifa ya adabu sili hizi labda mie peke yangu.
kabila kumbe lina akisi tabia !!!??
Umejuaje? Ni pale mlimanikwenu arusha?
Mh! Sijui. Lakini ukifika musoma mjini, utakuta nyumba zote za mjini zinamilikiwa na wanawake wajane.Wajita wazuri
Wanavumilia yapi?Naona watu wameweka utani mbele sana kuliko busara kwenye hili swala....acheni utani kwa maoni yangu ni watu wa Iringa acha mchezo.....WAHEHE,WABENA mi nawakubali kwannza wanajua kupenda pia ni wavumilivu mno kwenye ndoa..