wanawake wenye adabu na hekima

Wanavumilia yapi?

Unafahamu kwenye ndoa kuna shida na raha,wao wanavumilia mengi,waliowengi ukiondoa hao niliowataja(wahehe na wabena) si wepesi kukata tamaa kwenye ndo lakini kuna makabila fulani fulani ivi wenyewe ni wepesi sana kuvunja miiko....

Pia hawa wahehe na wabena ni wakarimu mno yaani mpaka mwenye utapenda....nasema ivyo kwani nina ushaidi ninaye mke wangu mtarajiwa yupo ivyo.....nilivyokuwa shule iringa niliwaona pia..
 
Naona watu wameweka utani mbele sana kuliko busara kwenye hili swala....acheni utani kwa maoni yangu ni watu wa Iringa acha mchezo.....WAHEHE,WABENA mi nawakubali kwannza wanajua kupenda pia ni wavumilivu mno kwenye ndoa..

Ila wakatili, hua wanajitundika.
 
Hizo sifa haziletwi na kabila ni mtu mwenyewe tu.
Kama ingekuwa hivyo basi jubilei za ndoa zingekuwa za watu wa huko tu!

Hata mwingine atakuja hapa na sifa za mke wake au mtarajiwa wake naye akasema kabila lingine tofauti
 
Unafahamu kwenye ndoa kuna shida na raha,wao wanavumilia mengi,waliowengi ukiondoa hao niliowataja(wahehe na wabena) si wepesi kukata tamaa kwenye ndo lakini kuna makabila fulani fulani ivi wenyewe ni wepesi sana kuvunja miiko....

Pia hawa wahehe na wabena ni wakarimu mno yaani mpaka mwenye utapenda....nasema ivyo kwani nina ushaidi ninaye mke wangu mtarajiwa yupo ivyo.....nilivyokuwa shule iringa niliwaona pia..

Wahehe na wabena rahisi kujinyonga kama wakikumbana na shurba
 
Tafsiri ya adabu na hekima ni nini?

Viwili hili ni tunda/zao la malezi na mazingira anamokulia mtu. Kila kabila walikuwa na mfumo wao unaozalisha watu - wake kwa waume wenye tabia njema ikiwemo adabu na hekima.
Chukulia mambo yafuatayo:
Heshima - kuna makabila mwanamke analelewa kuinamisha kichwa au kupiga goti, kushusha sauti au kuirembesha saaana au kukaa anapoongea na mwanaume.Kuna makabila mengine huo utaratibu haupo kabisa. Sasa huwezi kutumia kipimo cha jumla kuamua kuwa kabila fulani ni bora kwa adabu na hekima kuliko lingine.Vile vile hekima haifundishwi darasani au kwenye shule. Hekima ni accumulation ya maarifa kwa kipindi na hujumuisha mambo mengi sana,NAWEZA KUSEMA NI KARAMA kiasi fulani.

Muuliza swali labda atuambie anataka kujua hili kwa minajili ipi ili swali lijibiwe inavyopaswa. Ingekuwa mimi, ningeuliza hivi:

Mwanamke mwenye adabu na hekima utamtambua vipi?
 
mh hao mnaowataja wawe wanatoka kijijini na si mjini au ambao hawana access na utandawazi otherwise watoto wote ni spoiled mbayaaaaaa
 
Kabila na tabia! Kazi kweli kweli. Inawezekana ukitumia concept ya malango!
 
mh hao mnaowataja wawe wanatoka kijijini na si mjini au ambao hawana access na utandawazi otherwise watoto wote ni spoiled mbayaaaaaa
Hivi kukaa mjini nako ni tatizo?
Na hao wa vijijini wakija mjini ukubwani ndo wanakuwa wehu kabisa bora yule alojizoelea mji hakuna jipya kwake.
Mwisho wa siku tabia ya mtu haiathiriwi na kabila lake, ni malezi na mazingira na silka ya mtu binafsi.
 
Naona watu wameweka utani mbele sana kuliko busara kwenye hili swala....acheni utani kwa maoni yangu ni watu wa Iringa acha mchezo.....WAHEHE,WABENA mi nawakubali kwannza wanajua kupenda pia ni wavumilivu mno kwenye ndoa..

hasa wazungwa wa dabaga heshima tele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom