Wanawake wenye 'A'

M.E.M.A

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,373
472
Wanawake ambao majina yao ya kwanza yana anza na herufi 'A'..wanatajwa kuwa ni wazuri zaidi, wana akili sana, na wanaishi kwa muda mrefu zaidi.

Sasa hebu nihakikishieni hili kwa kuniambia kati ya makundi haya hapa ni nani wenye sifa tajwa hapo? shansire, DEMBA, Valentina, Mamndenyi@ Ladydoctor, Heaven on Earth, Ladymasa

na Aniv, Amarula(I hope yupo), anjela, Atupwele, anna, aneth

Source: Kwa hisani ya watu wa Marekani.
 
Last edited by a moderator:
we M.E.M.A ina maana sie ambao majina hayaanzii na A hatuna akili na tunakufa mapema?
 
Last edited by a moderator:
siku hizi utamu unaanza na A?

mi nikajua ni K K tu!
 
Yenye herufi "a" hata liwe
Kati na mwisho. Mimi naona wanakuwa wazuri sana

hapo naona umeokoa wengi sana mkuu!!

sisi tunataka credit iende kwa wanaoanzia na herufi A tu!!

otherwise majina mengi sana hasa ya kibantu huwa yana herufi a ndani!
 
Yenye herufi "a" hata liwe
Kati na mwisho. Mimi naona wanakuwa wazuri sana

we M.E.M.A ina maana sie ambao majina hayaanzii na A hatuna akili na tunakufa mapema?

Hahaha..kama una mashaka vile. mnyepe kajaribu kupoza utafiti hapo. DEMBA wewe yako angalau imetokea mwisho..kwa hiyo uzuri unao..ila hizo sifa nyinginezo ...mmmh

**Husein Bolt was here....**
 
Last edited by a moderator:
hapo kidogo umetutia moyo

Hamna kitu hapo. 'A' ndio inatakiwa ianze. Sasa wewe unaanza na L kisha ndio A...halafu D...mbaya zaidi ndio unamalizia na Y..yaani karibu na mkiani kabisaa. Ngoja nishangae kichaga...(chaaa)
 
siku hizi utamu unaanza na A?

mi nikajua ni K K tu!

Mkuu hapa utamu hauhusiki. Hapa ni akili, uzuri na maisha marefu. Ila hii ni kweli. Ushawahi kukutana na Amina, Anjela/Angela, au Anita mbaya?
 
Mi sijaelewa,naomba urudie. Tehe tehe

Nasema hiviii...utafiti unaonesha kuwa wanawake wenye majina ya kwanza yanayoanza na herufi A wanatajwa kuwa ni wazuri zaidi, wana akili sana na wanaishi muda mrefu zaidi. Pole sana ewe mwenye V Valentina
 
Last edited by a moderator:
Nasema hiviii...utafiti unaonesha kuwa wanawake wenye majina ya kwanza yanayoanza na herufi A wanatajwa kuwa ni wazuri zaidi, wana akili sana na wanaishi muda mrefu zaidi. Pole sana ewe mwenye V Valentina

Mweee... ngoja nibadilishe
 
Last edited by a moderator:
Mi sijaelewa,naomba urudie. Tehe tehe

Kwanza wewe Valentina unapashwa uringe!
Wala usisumbuke na kutafuta kujipendekeza hapa!
Hivi unajifanya initial ya jinalo "v" ndiyo initial ya Tunda lihangakiwalo na kila Mwanaume ? V si ndo ina run dunia !
Uwongo ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom