Wanawake wengi wazuri wana mapungufu haya

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
678
ukifuatilia sana Wanawake wazuri warembo wenye figa pia sura nzuri ukiishi nae lazima atakuwa na mapungufu haya malaya, mjuaji, pia kwenye mapenz huwa ni wabovu sana aidha unakuta hayajui mapenz ila wengi wao unakuta mashine ni mbovu
.. huwa najiuliza sana huwa ni kwa nini ndiyo maana Wanawake wengi warembo ila unakuta hawaolewi au wanaachika.
 
Kweli nshakuwaga na mmoja housing si mchezo mtoto mzuri lakini siku ya kupiga nilijuta, breki p*mbu baada ya hapo sikumtaka tena hata simu zake nilikuwa sipokei
 
Kuna kina dada wako smart kila kona unakuta ni Mzuri wa umbo na sura, Upstairs yuko vizuri, Amesimamia kitengo cha maana sana...Ila utakuta huyu sasa huwezi mpelekesha jinsi unavyotaka yaan hapo gender lazima i-balance hutaki chapa lapa..
 
haaaaaaaa manu ushakutana na ilo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom