Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,117
- 49,473
wapo wenye mioyo ya dhahabuBasi hata hizi harakati za haki sawa wanawake wanazopania ni maigizo kwasababu kiukweli hawana umoja mioyoni mwao
wapo wenye mioyo ya dhahabuBasi hata hizi harakati za haki sawa wanawake wanazopania ni maigizo kwasababu kiukweli hawana umoja mioyoni mwao
He he he hulijui hili mkuu?Kwahiyo hata wanawake wanaofanya kazi ofisi moja, huwa hawapendani wenyewe kwa wenyewe?
Bora mmesema wenyewe,ingekuwa uzi huu kaunzisha mwanaume mngesema tunachuki.Halafu mwingine unamuona mrembo kabisa,lakini shida ni moyo wake,nadhani kama ungeweza kuuotoa ungekuta una rangi kama lami...
Pengine yes mimi ni mdogo sikukatalii..ila naomba kujua umenilinganisha na nani kwanza.Wako wengi sana inaelekea bado mdogo sana wewe
Sidhani mkuu, Mimi hupuuza najua ni mvurugo tu wa hormones hzo, ndio majority walivo as long as I don't expect from anyone nawapuuza tuCariha, wanawake wana roho mbaya sana, bahati mbaya wengi hawajijui walivyo, Vifo vingi vya wanaume huchangiwa pakubwa na wake zao.
Tena hao simpleSijui huwa mna nini ninyi ke. Nishasikia wanawake kibao wakisema wanapenda kuwa na marafiki wa kiume kuliko wa kike. (Kuna mawili; roho mbaya au kupenda slope)
Huwezi wa force mkuu, Mimi nilishawapuuzia kabisa Yani lohUkiona mtu anashindwa kutoa msaada ambao haugharimu chochote , hatumii gharama yeyote , ni rasilimali muda tu usiozidi dakika 3 ,huyo automatically anaroho mbaya,
Kiukwel hata kwenye usafiri Wa umma hua tunaona wanawake msivyo thaminiana
dharau ya nyokaUnamaanisha nini hapa?
Ok. Wanawake kwa wanawake kudharauliana?dharau ya nyoka
ni mfano wa msumeno.Ok. Wanawake kwa wanawake kudharauliana?
Pengine yes mimi ni mdogo sikukatalii..ila naomba kujua umenilinganisha na nani kwanza.
Kichwa cha uzi pale juu kinaeleza kila kitu.ni Kwanini hutaki kukubali kuwa kuna wanawake wabaya na wazuri?
Hebu tuwe wakweli wakati mwingine si kila kitu ni kupinga tu.
🥂Mimi sikupingi naelezea niliyoyaona inawezekana jamii iliyokuzunguka ndio watu wengi wana roho mbaya ila ujue tu ukiona jamii mwanamke ana roho mbaya basi jua wanaume wao ni hivyo hivyo. Roho mbaya haina jinsia.
Ukiishi muda mrefu kuna mambo mengi unakutana nayo na kujifunza yanaweza kukufanya ushangae.
Na unakuta yeye ndo anafaidika zaidi pengine hata anapewa fund kufanya harakati zileharakati nyingi zinaangalia faida ndani yake,
hao kina open kitchen sijui,kina Joyce kiria sijui mwanamke sahihi zote zinaangalia manufaa ndani yake
kweli hata wale manesi wa labour .japo wao ndo wanazaaga lakini hata hawana huruma na wazazi .wanawake badilikeniKwenye huduma zitolewazo sehemu mbalimbali, kama kwenye maofisi, migahawa, benki n.k wanawake huwa wanapenda mtoa huduma awe mwanaume.
Balozi wa roho mbaya ushafika kutetea roho ya korosho wenzako.....Roho mbaya haina jinsia usitulaumu wanawake bure, msaada ni uamuzi wa mtu
Na bado ukimsaidia anakuja kukuletea u*eng* huko mbeleni.....Basi kwa maelezo hayo na malizia kwa kusema
Mwanaume kaumbwa na roho mzuri kuliko mwanamke..
Mimi hata hizi harakati zenu za kumuinua mwanamke kama wanawake wangekuwa na roho ya utu km wanaume nyinyi mngekuwa mmefika mbali sanaaaaaaaaaaaaaa cha ajabu hata kwenye hizi harakati ni sisi wanaume tunashiriki kuwa push wanawake kwenye biashara either mambo ya mitaji au connection nzuri za biashara
huu ni ukweli mchungu sana